Kwa wapenzi wa muziki na wenye masikio thabiti kwenye muziki (vyombo) kumekuwa na ubishi mrefu juu ya nani zaidi ya wapiga solo guitar kati Flamme Kapaya na Kimbangu Solo.
Je, wewe ambae umebahatika kuwaona, kuwasikia wakicharaza nyuzi hawa wataalamu wawili, ni yupi amekukonga nyoyo vilivyo?
Wenyewe wanasema ni Adv-enture. Thailand, Indonesia, Phillipiness wanazitumia sana hata sehemu za milima...nadhani kwa mijini na service kwa wakati unaishi nayo kwa muda mrefu.
Kapo ki-sport zaidi, kwenye boot unaweza tupia ki-bag na vitu vidogo vidogo
📌 Faida kuu za ABS kwenye ADV160:
1. Usalama wakati wa emergency braking
ABS inazuia matairi kufunga (lock) wakati unakanyaga breki ghafla.
Hii inakusaidia kubaki na control ya pikipiki badala ya kuteleza.
2. Stability kwenye barabara mbovu au zenye mvua
Kwa mvua au mchanga, bila ABS tairi...
Hii si sawa na Vespa mkuu, hii ni Honda ADV160...dukani Indonesia unaipata kwa 6.14M...mpaka inakufika hapa Bongo sijui...ndio maana nikaomba kama kuna dealer wa hizi chuma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.