Recent content by Kidabwenge

  1. Kidabwenge

    JamiiForums Tanzania Mradi wa umeme mwl Nyerere umefikia wap?

    Ndugu wananchi wenye kujua mradi huu umefikia wap maana tuliambiwa mwaka Jana umefikia asilimi 98 mpaka mwaka tumeuanza mpaka Leo Amna mrejesho mwenye kujua atujuze.
  2. Kidabwenge

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Unafiki wa Wazanzibari: Fatma Karume kimyaaa!

    Nunueni tu ugomvi usio wahusu haya tutaona mwisho wake
  3. Kidabwenge

    JamiiForums Tanzania Kwa unyama wa Oktoba 29, sijui wala kuamini kuwa polisi wetu ni binadamu kama sisi

    Polisi mnawaonea Bure wao wanapokea amri kwa kuwa jeshi amri upokelewa na kutekelezwa
  4. Kidabwenge

    JamiiForums Tanzania Maandamano au vurugu?

    Asili yetu watanzania ni unafki Mwizi na kibaka wakiiba mtaani wanawauwa kikatiri sana ila kwenye wizi na uporaji wa tarehe 29 wanaona sawa kilichotendeka. Ibaki kuwa pol walikosea pia raia walikosea Kilichobaki kama wa tz kusameheana na kusonga mbele Mungu ndo mtoa hukumu kwenye hili...
  5. Kidabwenge

    JamiiForums Tanzania Inashangaza ki ukweli kilekinachoendelea kariakoo

    Leo nimeangalia karibia misiba yote ya kwenye gorofa na mengineyo nivilio tu Kwa wakinamama swali langu ni hili nafasi ya mwanaume mbona inafichwa kwani hao wanawake walijizalisha wenyewe hao watoto. Yani baba ahojiwi ni wanawake tu mbona inatumika nguvu kubwa kufichwa mwanaume Kwa watoto wake...
  6. Kidabwenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani, tuwe wakweli: Hali ni mbaya siyo kwenye Ndoa pekee bali hata Mahusiano mengine

    Mhh kama Kuna ka ukweli hapa
  7. Kidabwenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani, tuwe wakweli: Hali ni mbaya siyo kwenye Ndoa pekee bali hata Mahusiano mengine

    Tusikitike asee furaha kiduchu uzuni kama zote
  8. Kidabwenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani, tuwe wakweli: Hali ni mbaya siyo kwenye Ndoa pekee bali hata Mahusiano mengine

    Kabisa Yani ni mwendo wa kunafikiana tu
  9. Kidabwenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani, tuwe wakweli: Hali ni mbaya siyo kwenye Ndoa pekee bali hata Mahusiano mengine

    Kumetokea nini kwenye jamii ya Sasa mbona kila sehemu NDOA zimekuwa shubili Yani amani hakuna furaha ya MAHUSIANO hakuna tabu tupu shida ni nini?
  10. Kidabwenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa Joyce ni yupi na Kilia ni yupi? CONFUSED

    Ilo ni shoga la mda mrefu linajificha kwenye mgongo wa mume wa Joyce Alafu eti wanajadili mambo ya gender kwenye kipindi chao dah full kuwakandia wanaume wanakera kingese yani.
  11. Kidabwenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

    JANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
  12. Kidabwenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia nyingine ni za ajabu sana

    We jamaa ni genius dahhh umejuaje
  13. Kidabwenge

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Ukipewa dhamana polisi kutoka ni bure usitoe pesa

    Katika makamanda wanafki pamoja na huyu ye mwenyewe ukute aliwekwa hapo Kwa kutoa rushwa shupid hamna kitu hapo
Back
Top Bottom