Recent content by kichwa panzi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete anaandaliwa Urais 2030?

    Hana huo uwezo, jamani Uraisi sio uji wa kumpa mtu kuonja.
  2. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

    Dah tuko wengi humu, huyu alikuwa Upinde maarufu sana. Niliondoka GGM mwaka 2011 kwenda Kakola then Nmara.
  3. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Tz is Covid free or denial??
  4. K

    JamiiForums Tanzania Fulbright scholarship Interview

    Hongera sana kaka, ni competitive kiasi chake, jaribu search kwenye mtandao au youtube, utakutana na jamaa walipata au walifanya, itakusaidia. All the best
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dell laptop D620

    Hivi hizi mashine bado zipo duniani? Nilitumia miaka 20 iliyopita. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania Coal for sale

    Quality yake ipoje?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bsc in chemistry na bsc in biotechnology and labolatory science

    Chemistry ualimu nje nje,piga hio kozi. Hali ikiwa mbaya utakamata chaki.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya bachelor of science in geoinformatics (ARU) na bachelor degree in automobile engineering (NIT) nisome ipi?

    Nenda Auto mkuu, hio geo infor, ni kams tools to, utapatwa na tabu ya ajira, namaanisha wengi wanaitumia na kufanya wawepo wengi sana. Njoo inbox Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania Karibuni UDSM

    Geology Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mkuu TRA chungulia TRA Makumbusho inachosha na aibu

    Pale kuna dogo anaitwa amani, ukienda kuulizia leseni unawekewa mazingira ya rushwa..huyo dogo na mabosi wake wanafikaratasi wanakupa ili uwasilianae nao kwaajilu ya kuwaponza. Ukiwapigia simu unaambiwa leseni zinatoka muda wowote, ina maana umetengenezwa upigaji fulani hapo Millenium tower..TRA...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mkapa na Kikwete Walidanganywa na Wakadanganyika!, Magufuli Anadanganywa!, Jee Atadanganyika?

    Tatizo kubwa waandishi wetu hawaandiki habari kwa research, leo unakuta mtu anaandika michezo kesho siasa, hana ubobezi wowote. Hii thread inapotosha sana sijui ametumia wikipedia. Kaka pesa wanazodai acacia ni malimbikizo kwa miaka ya nyuma tokea waanze kutoa mchanga nje ya nchi, mimi kwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rugimbana alifutwa kazi ukuu wa mkoa Dodoma?

    Sure najua jamaa ni nyoka, aliwahi kukimbiza mwenge miaka fulani.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Jenerali Imran Kombe

    Ex DG wa usalama anaheshikimika sana kama The late Dr. Lawrance Gama, hawa walitoka Jeshini japo na yule coronel Apson naye alitoka huko, hao wanaheshimika sana pale Makumbusho.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

    Let' s conclude, TO wa mda wote ni Dr. Martin chegele ambaye anahadhiri( UDSM), mshauri wa uchumi mkubwa ajaye.
Back
Top Bottom