Recent content by kichupa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanja bomba mbili Dar es Salaam

    Mmmh ngoja
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku wa kienyeji na mayai, ninapatikana mikocheni kwa senga road ulizia richard

    watu wengine ati unauza bila bei?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nauza line ya M-Pesa

    Hakika naiuza
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nauza line ya M-Pesa

    mi nauza 160000/-tu nipo dar fanya kunipm kama unahitaji
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini maana ya kichupa?

    video mkuu
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti elfu kumi inamuuma. Kaongea na vodacom customer care

    Umekula hela yangu utanibeba leo,siondoki peke yangu utanibeba leo ni hayo tu
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jipatie King'amuzi Cha dstv na internet bure bila malipo yeyote ya mwaka

    kuna siku hapa nilisoma umeandika watu wote uliowauzia unataarifa zao haya warudishie pesa zao kwanza
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msaada ajira yeyote halali

    ndugu yangu mimi mwenyewe nataka kwenda sana law school lakini tatizo hali yangu ndo maana nataka nijikusanye ili niende
  9. K

    JamiiForums Tanzania Msaada ajira yeyote halali

    asante
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada ajira yeyote halali

    nalitambua hilo mungu akijalia nitaenda,asante kwa ushauri
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada ajira yeyote halali

    ndugu yangu unasema usilo lijua kila mtu hapa duniani anadestiny yake ambayo katika hali ya kawaida itafika muda ukifika na katika dunia hii na kwenye jamii yetu tunayaona sana haya,mungu sio mbaguzi kama sisi wanadamu ninaamini haya nimapito tu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msaada ajira yeyote halali

    na nina imani hiyo najua wakati ukifika kila kitu kitakuwa kawaida asante kwa mchango wako ndugu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msaada ajira yeyote halali

    hujui usemalo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msaada ajira yeyote halali

    Nashukuru wote kwa mawazo yenu nyote kwa michango yenu mizuri sana yakutia moyo ila nimesikitishwa sana na baadhi ya ndugu zetu hapa jamiiforum wanaona tangazo lako anakuja pm/wazi anasema anakusaidia anakuomba namba unampatia alafu anakaa kinywa,unampigia simu hapokei mwingine anakwambia umpm...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msaada ajira yeyote halali

    ndg huko pote nimepita na bado mambo magumu sana kwa upande wangu
Back
Top Bottom