- Thread starter
- #41
don't give up bro, trust God one day he'll show the way to ur prosperity.
asante
don't give up bro, trust God one day he'll show the way to ur prosperity.
ungepata div 1 au 2 ungeenda ualimu weweeee! uctudanganye hapa. mnspyuuuuuu!!!!!
kichupa wewe nenda law school ukafundishwe pale procedure za kuitumia hiyo taaluma yako ujitahidi ufaulu then itakuwa rahisi kuitumia hiyo taaluma yako .
mm sio mwalimu mkuu ila hii dhana kusema walimu ni taaluma ya waliofeli ina maana hao waliopanga hizo grade walifeli kuzipanga au wote waliosomea ualimu wana FFFFFFFF ordinary level na wana FFFF advance level kwangu huyu mm ndio kafail unless ni majungu tuu unaongea hapa kwa hiyo aliesoma sheria ndio kapata one kali tu ...unajua principal za wanaosoma sheria kwenye hivi vyuo ..SAUT,TUMAINI ,RUCO na mwalimu anaesoma Udsm duce na mkwawa....wacha kuropoka kwamba kila anaesoma ualimu kafail nisawa wana wanaufaulu wa grade chini ila wana vigezo vya kuusomea huo ualimu wao na laiti ungalijua hao wanaosoma sheria hasa katika kipindi hiki si tumewaona law school,unajua tatizo la mfumo wa elimu ndio maana huyu kamaliza sheria lakini hawezi kuoffer chochote nje ya kuajiriwa na taaluma yake inamruhusu kufikiri nje ya kuajiriwa.
mijitu mingine migumu kuelewa jiwe linaafadhali. mbona sijazungumza walimu wamefeli au macho yako yanamatege. nimemuuliza kuhusu I NA II basi.
Itakuwa na yeye mwalimu
Tupa kule zile kazi za uarabuni yule mbunge anae watafutia watu hapo mujini.......JARIBU TEMBELEA HAPA CAREER EXPO wana kamradi kao (AJIRA KWA VIJANA) poa sana kanasaidia watu pata ajira pasi na uzoefu wowotee....nalikuwa mmoja wao kufanikisha hili zoezi...kwa mwaka jana, pia chek naTAYOA hawa jamaa hunifurahisha yani hawanaga longo longo wanascan toka magezetini na kupost kwa online....advert kama ilivyo.
Kila lenye heri mkuu ukifanikiwa usitusahau uje shududia na kutoa shukrani kwa wana JF kuthiibitisha ya kwamba michango yao inafanya kazi kwa uzuri kabisa tena free of charge.
TUPO MKUU HUMU JF, karibu sana!tuwapate wapi wenye akili kama wewe?