Recent content by kichunafk

  1. kichunafk

    Droni zawapa changamoto kubwa waongoza ndege

    Ndege inapita kwenye usawa wowote inategemea na stage iliyopo. Kuna wakat inapata na wakat wa kutua pia. Pia Luna ndege zinaruka urefu mfupi kama zile zinazotumika kwenye kilimo etc.
  2. kichunafk

    #Malezi - Faida tatu za kumuomba mwanao msamaha

    Binafsi kwenye malezi yangu kuna maneno yalikuwa yananiumiza mno kila ninapoambiwa na hiyo ilinifanya nisiwe karibu sana na mzazi wangu mmoja. Nilisema nikiwa na mtoto/watoto sitawaambia maneno ya kuumiza but as a human being kuna muda najisahau au hasira sijui naweza toa neno nikajua hili...
  3. kichunafk

    Hivi mwanamke anaweza kumuacha mtu anae

    Hahaahahahaha nimejikuta nacheka. Tunanyonyana haswaaa. Tena nadhan huku raha inazidi sababu ni wa halali[emoji3][emoji3]
  4. kichunafk

    Naliona anguko la Diamond linakuja kwa kasi

    umeneja umebaki jina, hanitaki hata tale #utanipenda
  5. kichunafk

    2015 yako ilikuaje,lets share,2016 umejipangaje

    mwaka huu yani naona unachelewa tu kuisha, majanga juu ya majanga, sikutegemea kama ningeweza hata kucheka tena. all in all Mungu wetu ni wa neema. nasubiri 2016 inshallah naamini utakuwa wa kufuta yote yaliyonitoa furaha mwaka huu.
  6. kichunafk

    Je, msichana anaweza kupoteza usichana wake (bikra) bila kutokwa na damu?

    Hahahahahhaha, ya wapi labda unayoizungumzia
  7. kichunafk

    Je, msichana anaweza kupoteza usichana wake (bikra) bila kutokwa na damu?

    Pole ya nini sasa Lmntrix ? Inaweza kuwa hivyo labda, sijawahi fatilia ila nilisikia tu.
  8. kichunafk

    Je, msichana anaweza kupoteza usichana wake (bikra) bila kutokwa na damu?

    Maumivu nilipata na niliumwa karibu 4 days,
  9. kichunafk

    Je, msichana anaweza kupoteza usichana wake (bikra) bila kutokwa na damu?

    Kama huamini basi sababu sijaona sababu ya kukulazimisha. Ila hiyo case ipo
  10. kichunafk

    Je, msichana anaweza kupoteza usichana wake (bikra) bila kutokwa na damu?

    Siyo lazima, mimi sijawahi kuiona hiyo damu siku ya kwanza hadi leo hii. na sijakulia kijijini, nimekulia makuzi ya kawaida tu. sina sababu ya kusema uongo ila kwa kuwa imenikuta nimeamini, ila kwa wanaume kuamini ni shida
  11. kichunafk

    Wanangu wanaelekea kukosa ada ya shule kwa kutibu mama mkwe

    huu ushauri wako akiufatilia utamsaidia sana. case kama hiyo iliikuta familia yetu ikabidi kaka yangu atengeneze bima haraka. maana mgonjwa wetu alikuwa anafanyiwa mara tatu kwa wiki, jumla ya gharama ni kama 1million haikuwa rahisi, mnakabana hadi senti ya mwisho. jitahidi mkuu mama apate bima
Back
Top Bottom