Recent content by Kichefuchefu wao

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kwakweli Dodoma inavutia sana.
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hahahahahaaaa
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Haya ndiyo mambo yaliyofanya Tanzania kuwa na uchumi mkubwa na sarafu yenye nguvu zaidi ukanda huu na nchi nyingi tu Africa lkn kina mkapa waliharibu kila kitu na kuturudisha nyuma na privatisation yao.
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Deluxe ina engine mpya sio kama hizo mkuu.
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hahahahaaaaaaaaaa
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Pacha wawili waomba kuolewa na mwanaume mmoja ili wasitenganishwe. Jamaa akubali kuwaoa

    Vp 071...... Unaomba?
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Pacha wawili waomba kuolewa na mwanaume mmoja ili wasitenganishwe. Jamaa akubali kuwaoa

    Inaonyesha jamaa alitafuna wote wawili kitambo.
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Si umeona hapa 😅😅😅😅😅😅😅
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Tatizo la ndugu zetu hawa wamekuwa wakionyesha wivu pale Tanzania inapoonekana kufanya vzr katika mambo wanayotamani wangekuwa wao, ni muda mrefu humu wamekuwa wakikashifu China na kusema sisi ndugu zetu wachina wao ndugu zao wamarekani, lkn leo baada ya kuona China anatoa mpunga na Marekani...
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ukisema hivyo sidhani kama ni sahihi mana ukweli ni kwamba Tanzania ipo juu ya Kenya kwa uhuru wa habari na report zipo, labda kama unataka nikuwekee hapa.
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ila we jamaa bhn kwa kulazimisha nyekundu kuwa njano hujambo 😅😅😅😅😅😅😅 Muda mwingi nimekuwa nikikufuatilia humu unapinga kila kitu, duuhh wewe ni kiboko aisee 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sio kila kitu cha kubishana mkuu, vingine unaacha vipite 😅😅😅😅
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Vitu vingine tujaribu kuwa realistic wazee.
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Yes, lkn pesa ya Uganda tutaitafuna pia.
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kama hii miradi itakamilika na kuanza operation; SGR, JNHPP, EACOP, sidhani kama kuna nchi itaikaribia Tanzania kiuchumi hapa East and central of Africa.
Back
Top Bottom