Niwape mbinu mbadala yakutokua na arosto,
Tafuta story nyingine uwe nazo japo mbili tatu unafuatilia, mfano kuna mtu humu alitoa linki ya story kumi kali humu JF, kuanzia pale me sipati arosto kabisa,
Ukisoma na comment za wadau, aloo watu wanastori nzuri zimo humu humu na hujawahi kuziona...
Hiii ata mm ilishanikuta, me hua natoa mara nyingi laki6 kwa mara moja, cpendi kutoa ndogondogo kupunguza makato, na hua nafuatilia sana balance,
iyo cku nlipitisha kama wiki cjatoa ela na nnajua balance ni kiasi gan, nakuta kuna upungufu wa 600k, doh tuligombana sana pale kkoo, nakumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.