Recent content by KIBWETERE JUNIOR

  1. K

    JamiiForums Tanzania Adamu na Eva walikuwa na Vitovu (Belly buttons)?

    hapo namuona adam analichezea tunda.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, Maxence

    Hizi ndio case zinazomaliza kodi za wananchi. case hizi utazikuta sana kwenye nchi za ulimwengu wa tatu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, Maxence

    nguvu nyingi ielekezwe kwa faru John. sio kwa innocent people.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Max Melo kajitolea kutulinda, sisi tumeshindwa kumlinda, lakini vifungu hivi vinawapa nguvu polisi

    Naomba Mungu Alshabab wahamie Tanzania,, ili polisi wetu nao wapate kazi ya kufanya kama Kenya. Mungu katupendelea kuna amani uchwara, polisi wamuachie huru.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, Firauni (Pharaoh) alikuwa Mweusi au Mweupe?

    dini ni halali wakati bange sio halali...lakini vyote ni vilevi vikitumika vibaya.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Wahitimu wa diploma wakihitimu bila majoho

    mkuu ni kweli hawa wanaovaaaga mabaibui waga wana zigo la kuvunja hata chaga sema jinsi ya kufunguka nao ni protocal hayo mabaibui waga naona miyeyusho.ndio maana wakifika disco wanayaweka kwenye mikoba.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hivi nyama ya chui inaliwa?

    ndio. chui ni vigumu pia kukamatika kirahisi ivyo, nguvu yake ni close sana na ya simba.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Australia kutafuta maisha

    usisahau pia cheti cha ndoa ili kuwathibitishia kwamba utarudi kwenu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Anthony Lusekelo 'Mzee wa Upako' awaombea kifo waandishi wa habari

    serikali haiamini uchawi. angeshakamatwa mda tu sema alichoongea ni sawa na uchawi tu.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Wahitimu wa diploma wakihitimu bila majoho

    liko vizuri
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

    Jeshi letu la polisi halina mfumo wa kulinda key informant.
Back
Top Bottom