Recent content by Kibwana Mruguru

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hatimae mzee kavuta 98m za kiinua mgongo

    Acha ale hela zake maana anamiaka miwili tu yakuishi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mimi kulipa gharama hizi za umeme?

    Mwanaume unalalama kama Demu vile
  3. K

    JamiiForums Tanzania CDF Mabeyo: Urasimu katika maghala makuu wachelewesha usafirishaji korosho

    Atakuwa amemezeshwa maneno jeshi halijawahi kushindwa labda kama ni mgambo wa kariakoo sokoni
  4. K

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa mmeshapandikiza hata Rais mmoja miongoni mwa nchi zinazotuzunguka?

    Nani kakwambia Tz is not powefull country
  5. K

    JamiiForums Tanzania JE UNAJUA?

    Hao wachache walio humu wanaishi mtaani pia
  6. K

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kundi kubwa la walinzi nililomwona nalo hapa Arusha, Chifu Nanga anahofia nini kuhusu nafasi yake?

    Siku zote nyumba zenye mageti zinashinda zimefungwa siku Ukiona Geti lipo wazi ujue kunamsiba Tafakari
  7. K

    JamiiForums Tanzania Yani mpaka sasa wataalam wetu hawajajua ni kitu gani kilianguka Kagera

    Wambie wakaangalie kwenye Setelite itawaonesha kilichotokea
  8. K

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Mhe Rais Magufuli Salamu zako Ulizompa Mhe. Lowassa Tumezipata Namimi nasalamu zako toka kwa Mungu Soma Mithali 18:12

    Mungu hutumia hata wale usio wadhania kukuletea taarifa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Magufuli inathibitisha pasipo shaka kuwa anaingilia mhimili wa mahakama

    Kwani yeye alitaja kiongozi au alimwambie awambie anao waogoza
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ulianza kufanya mapenz ukiwa Na miaka mingapi?

    Ukishajua inakusaidia nn labda
  11. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania mlioko Afrika Kusini tusaidieni kutuondolea hii hofu ya ' Kimajonzi ' inayoanza Kutawala sasa Tanzania

    Hapa kuna mada mbili zinachanganywa sijui ipi ni ipi sasa Kati ya Mawingu na Bibi wataifa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Baba yangu ni mkatili. Ananifukuza na sina pa kulalamika, nabaki na huzuni

    Wew unahisa kiasi gani hapo kwake nyie ndio wale munaombea wazee wenu wafe ili muuze nyumba pumbavu wew nenda kalale stend ya mkoa kule
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nampinga Tundu Lisu kuwa mifuko ya Pensheni imefilisika

    Unapinga kwa sababu hujiu kuwa miradi mingi inayoendelea imekopa hela kwenye hiyo mifuko Ukijua utanyamaza Tulicho nyimwa sisi wana Ccm ni elimu ndio maana kila kitu tunasifia tu bila kuhoji
  14. K

    JamiiForums Tanzania Jambo Fikirishi: RC Makonda, unamchezea Rais?

    Ukitaka uishi vizuri saiz fanya kazi zako maliza tulia ukitaka serekali hii ikufurahishe utapata strolck upinde Domo na miguu acahana na mambo hayo
Back
Top Bottom