Recent content by kibuzi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Irene Uwoya anatoka na GSM

    No
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Irene Uwoya anatoka na GSM

    Ok
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Irene Uwoya anatoka na GSM

    Sana
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Irene Uwoya anatoka na GSM

    Afu halipii Kodi yoyote kweny serikal yetu zaidi ya kulipia kifrem alichopangisha ni sawa na wakala wa tigo pesa iyo sio haki unaingiza million 50 kwa mwezi afu unalipia laki 5 ya jengo na tra laki mbili kwa mwaka
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Irene Uwoya anatoka na GSM

    Nimempa wazo then amenigeuka baad ya kupakia website kufanya kazi vizuri, so nataka nimuonyeshe
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Irene Uwoya anatoka na GSM

    Ndio lkn zingine ig hazipo km Leo kapost fayvanyy cjui Ana mimba cjui nini
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Irene Uwoya anatoka na GSM

    Kama unatka website ya mange bila kumlipa hata Mia pm me
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Irene Uwoya anatoka na GSM

    We ni mange unapiga promo hapa na watu tuna enjoy bure tu liwebsite lako
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Irene Uwoya anatoka na GSM

    Sana mkuu watu tuko freemode kwenye website yake
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Irene Uwoya anatoka na GSM

    Wanao toa hela au wanaolipia website ya mange ili wapate umbea ni wajinga nao watu tuna peruzi bure tu bila hata Mia kwenye website take Nina account tano na zote zijalipia hata mia
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kuagiza mzigo kutoka China kwa njia ya meli kupitia silence ocean au kampuni yoyote

    Niko dodoma ndani ndani nimewajaribu kuwauliza kwenye no zao wanapiga danadana tu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kuagiza mzigo kutoka China kwa njia ya meli kupitia silence ocean au kampuni yoyote

    Habari wana jf kwa anayefahamu kiasi gani kitanikosti nikisafirisha mzigo wa kilogram 50 na mzigo wa kilogram 100 kupitia kampuni za hapa bongo zitakosti Bei gani? Tafadhali naomba nijue kwa anaye fahamu asanteni
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliyefeli darasa la Saba anaweza kurudia darasa katika shule ya Serikali nyingine?

    Tatizo Uchumi kakaka angeenda private Ila mfuko hautoshi
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliyefeli darasa la Saba anaweza kurudia darasa katika shule ya Serikali nyingine?

    Wakuu habari ya November Nina dogo yuko Dodoma ndani ndani Kijiji kimoja kinaitwa Ibedya amemaliza darasa la Saba amepata wasatani wa 'D'/amefeli naomba nifahamu inawzekana akaja Dar akarudia darasa kwenye shule ya Serikali? Kama inawzekana process zake ziko vipi? Natanguluza shukrani!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar

    Kapike kwanza
Back
Top Bottom