Hili tatizo la sukari lipo miaka mingi sana nchini. Nakumbuka hata waziri Idi Simba lilimsumbua wakati wa Mkapa. Kuna hela nyingi sana kwenye hii kitu.
Dawa yake ni sisi wananchi kuacha kutumia sukari. Tutafute alternative yake.
Shida kubwa watu mnalinganisha "active income" na "passive income"
UTT, fixed deposit, bonds, etc ni namna ya kupata passive income inayoongezea kwenye main income yako/active income.
Kwa mfano una business inayokuingizia faida kubwa mnazozitaja, lakini inakufanya uwe busy kiasi kwamba huwezi...
Kilichopo ni kwamba wamebadilisha wanaonufaika na bandari. Mwanzo ilikua watanzania wenzetu walioamua kuwa wezi, sasa ni mwarabu.
Kwa mtanzania wa kawaida panaweza kuwa na nafuu kama mwarabu ataleta ufanisi na kupunguza gharama za kutoa mizigo. Hilo ndio tarajio langu.
Vinginevyo tumebadili...
Ndoa ni zawadi toka kwa Mungu. Usimpangie lini akupe. Uki force kutokana na pressure za jamii utaichukia
Mke kukuheshimu inategemea na wewe mwenyewe unavyojiheshimu, unavyomuheshimu na unavyoyaheshimu maisha.
Nyingine ni stori za vijiweni.
Idd Amjn alikua kiongozi mzuri tu sema hakuwa msiri kama viongozi wengine wa afrika. Mambo aliyoyafanya wanafanya na wengine lakjni kwa siri
Alifukuza wahindi kwa sababu wakati waingereza wanakndoka mojawapo ya makubaliano ni kugharamia kuwarudisha wahindi kwao India au kuwachukua kwao...
Ukisoma Biblia kama novo itakusumbua sana. Sali kwanza uombe roho mtakatifu akuongoze katika kuielewa na kuitafakari.
La sivyo utahoji kila kitu.
Kwa mfano genesis 1.27 inasema Mungu aliumba mwanamme na mwanamke. Sasa jiulize huyu aliyetoka ubavuni siku za baadae baada ya Mungu kumwona mwanamme...
Msafiri kutumia hata zaidi y nusu saa airport ni kawaida duniani. Kikubwa ni kuwe na utaratibu unaoeleweka .
Kitendo cha wageni kuhangaishwa kiholela na wafanyakazi wasio na uniform na vitambulisho waljvyovaa wamevigeuza usiweze kusona jina ndio tatizo.
Kama kuna utaratibu mzuri mgeni ataona...
Sijui kama na fit kwenye kundi hili au la. Ni hivi
Sipendi kuangalia TV Kabisa. Naangalia pale tu kukiwa na tukio maalum. Pia nikipata TV series nzuri za action like NCIS la huwa naangalia
Sipendi soka! Napenda michezo lakini sio soka. Rafik zangu hunishangaa nikikaa naangalia marathon live au...
Siku hizi upadre sio wito, ni kazi tu kama utabibu, udereva, ukuli, nk. Matatizo wanayokutana nayo mapadre ni matokeo ya kukosekana wito.
Wito umeondoka na heshima iliyokua imeambatana nao, kwa hiyo sasa mapadre hawana heshima tena. Wakiteleza Dunia inawaadabisha kidunia
Kwenye uwekezaji kuingia chaka ni kitu cha kutegemea has ukiwekeza bila kufanya utafiti mzuri. Sehemu sahihi au salama ni UTT au kwenye govt securities, japo huko returns ni ndogo. Kama unafuata "the higher the risk the higher the returns" ujue ni risk ipi uko tayari kuipokea.
Mimi nilikosea...
Hukunielewa. 60m nilikua nazo nikaweka Jikimu wakati naendelea KUTAFUTA nyingine. Zilipofika 100m (yaani nilikua NAONGEZEA, sio faida ya jikimu) nikafikiria nijenge au niziache tu jikimu, jibu likawa faida ya kuziacha ni kubwa. Nafikiri tumeelewana sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.