Recent content by Kibongo one

  1. Kibongo one

    GE2020 Bernard Membe akikataa kumpisha Tundu Lissu kuwa mgombea pekee wa upinzani, ACT Wazalendo watamfanya nini?

    Natamani kwanza wangeweka mdaalo Wa wazi Kati yao wawili na mshindi ndiyo apitishwe..
  2. Kibongo one

    Nguva au marmeid ni story za kusadikika kitaalamu hakuna samaki mtu, tuyaone sasa

    Sasa hapo papuchi si itakuepo upande wa samaki?
  3. Kibongo one

    Nguva au marmeid ni story za kusadikika kitaalamu hakuna samaki mtu, tuyaone sasa

    Sasa hapo papuchi si itakuepo upande wa samaki?
  4. Kibongo one

    Ilala: Daraja la Kivule lakatika kutokana na mvua

    Dar...mtoa mada sijui lengo lako.....daraja lenyewe lipo ktk matengenezo sehem walipozungushia mabati....ila hilo ni lile culvert lililo pembeni ktk mchepuko ndilo lililolemewa na maji
  5. Kibongo one

    Kibamia changu kinanipa Heshima

    Jaribio la mwisho ungemwambia akohoe......kama jibu likiwa imo.....ahaaa mambo yako fresh.
  6. Kibongo one

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Niliamini hivyo kwa kuwa alitumia dawa nyingi tu bila mafanikio....
  7. Kibongo one

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Jitahidi....najua maumivu unayopata kwani mwezi uliopita nilimshuhudia bwana mdogo...
  8. Kibongo one

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Ok....Tena alifanyiwa jpm hospital magomeni tulilipa Kama laki 5 kila kitu...
  9. Kibongo one

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Ni ugonjwa uliompata mdogo wangu...alipata sana shida wakati wake haja....dawa yake ni opereshen tu na alifanyiwa na doctor fulani hapa dar....kama upo Tayali nikutumie no zake mpange...
  10. Kibongo one

    Hongereni sana Zantel kwa internet nzuri Dar

    Tuelekezane sehem ya kuzipata line za chuo...
  11. Kibongo one

    Hongereni sana Zantel kwa internet nzuri Dar

    Hata Mimi nawakimbia halotel
Back
Top Bottom