Recent content by kibonge90

  1. kibonge90

    Naomba kujuzwa namna ya kuwatoa Wanachama wengine mliojisajili pamoja kwenye Kampuni

    Hapa kunamambo mengi ya kuangalia kwanza mimi sio hodari wa kuandika ingekuwa naweza weka sauti ningejaribu kuweka ili kila mmoja apate faida maana nimemaliza kufanya huu mchakato mwezi uliopita Naomba unicheki 0712790639 nitakusaidia kwa ushauri
  2. kibonge90

    Biashara ya Internet mtaani

    Hapa pana kitu nakiona acha nilale hapa
  3. kibonge90

    Fanya biashara ndani ya biashara yako, uokoe pesa unazopoteza na ujiongezee faida

    Nimekuelewa sana. Na nikweli kama ukishindwa kupunguza cost za uwendeshaji wa biashara huwezi ona faida.
  4. kibonge90

    Ni bidhaa gani unazoweza kuziuza ×1,000 kwa siku moja?

    Tena hizo ni chache kama ukibase na shule zaidi ya tatu au nne
  5. kibonge90

    ADOBE PHOTOSHOP

    Nimefanya Ila kuinstallation ndo nakwama
  6. kibonge90

    ADOBE PHOTOSHOP

    2019 au 2020
  7. kibonge90

    ADOBE PHOTOSHOP

    Habari za mda huu? Naomba mwenye link ya Adobe Photoshop anitumie au nikutane naye anipe hata kwenye flash
  8. kibonge90

    Nahitaji laini za uwakala

    Mimi ninazo ya tigo na halopesa
  9. kibonge90

    MPESA: Kutoa Tsh. 10, 000 wanakata Tsh. 1,500

    Naomba mnisaidie Kama wakala wa mpesa sijapata commission zangu za mwezi wa Saba nikipiga kwa voda wananiambia niongee na wakala mkuu na nikiongea na wakala mkuu anasema amesharequest makao makuu Ila hawajamjibu. Sasa nifanyaje?
  10. kibonge90

    Naomba msaada kwa mawakala wa Mpesa na Airtel money

    Naomba mnisaidie Kama wakala wa mpesa sijapata commission zangu za mwezi wa Saba nikipiga kwa voda wananiambia niongee na wakala mkuu na nikiongea na wakala mkuu anasema amesharequest makao makuu Ila hawajamjibu. Sasa nifanyaje?
  11. kibonge90

    Usimamizi wa biashara za kifedha

    Naomba mnisaidie Kama wakala wa mpesa sijapata commission zangu za mwezi wa Saba nikipiga kwa voda wananiambia niongee na wakala mkuu na nikiongea na wakala mkuu anasema amesharequest makao makuu Ila hawajamjibu. Sasa nifanyaje?
  12. kibonge90

    Biashara ya viazi soko la mabibo Dar es salaam

    Natafuta mtu anayefanya biashara za namna hii, Yaani anachukua bidhaa kwenye masoko makubwa na kupeleka kwenye masoko madogo Kama yupo humu tuwasikiane niweze kujifunza kupitia kwake
Back
Top Bottom