Recent content by kibokoyao zaidiyao

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tunaposema tunaonewa na kuwaangalia wengine kwa jicho baya la chuki, tunaiangaliaje historia yetu?

    uislam sio dini ya waarabu rafiki angu, mtume muhammad ndiyo alikuwa mwarabu na mungu alikuwa akimshushia ujumbe kupitia malaika jibril hivyo ni kweli kwamba awali waarabu wengi ndiyo waliokuwa wakifanya jitihada za kuusambaza ulimwenguni kote, (qur-an 3;19 au efeso 4;4-6)
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nipo tayari kuondoka CHADEMA...

    mambo yameenza kwenda kombo Chadema!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mahakama yawatia ndani Diwani, Katibu wa CHADEMA

    hakuna cha kushangaza! hao madiwani ni kama watu wengine! wakivunja sheria za nchi lazima washikishwe adabu! kama ni haki au dhurma itajulikana mahakamani! full stop!!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rombo wapandisha bendera ya Kenya?

    huwezi kupandisha bendera ya nchi nyingine ndani ya ardhi ya Tanzania, serikali inatakiwa kuwashughulikia ipasavyo, kama wamechoka kuishi Tanzania waende wakishi uko uko kenya, pumbafu!!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rombo wapandisha bendera ya Kenya?

    huwezi kupandisha bendera ya nchi nyingine ndani ya ardhi ya tanzania, serikali inatakiwa kuwashughulikia ipasavyo, kama wamechoka kuishi Tanzania waende wakaishi uko uko kenya,
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rombo wapandisha bendera ya Kenya?

    Huwezi kupandisha bendera ya nchi nyingine ndani ya ardhi ya tanzania, serikali inatakiwa kuwashughulikia ipasavyo bila ya kuwachekea, kama wamechoka kuishi tanzania waende uko uko kenya,
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dk Slaa anaweza kuwa rais anaefaa katika kipindi hichi cha migogoro ya kidini?

    jamani mbona mnafikilia kitu ambacho kisichowezeka! Dr. slaa awe rais wa nchi gani? mvuto wa dr. slaa umeshafutika yaani kwishney, na kwa sasa hata akigombea udiwani hawezipata!
  8. K

    JamiiForums Tanzania OIC: Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo

    achani kuweweseka kwanini msiende mkapange ratiba ya misa, mnakaa mnajadili kitu msichokijua, OIC kama hamhitaki sisi tunaitaka, yaani tatizo mnapenda kurukia rukia mambo, mpiga mayowe weeee ya mahakama ya kadhi hamjachoka tu, mnatuboa bwana
  9. K

    JamiiForums Tanzania Urais wa Zitto 2015 ni kwa tiketi ya CHADEMA - Habib Mchange

    Nyeupe siku zote itabaki kuwa nyeupe na nyekundu itabaki kuwa nyekundu, Chadema msitake kubadili nyekundu kuwa njano, Padri slaa hana mpya, tushamchoka sasa, nafasi ya urais tumwachie kijana shupavu na jasiri mh, kabwe.
  10. K

    JamiiForums Tanzania TZ Tumefika hapa?:Ati kufungua ofisi k/koo siku ya ijumaa ni hatari kwa usalama wako na Biashara!!

    Mtoa mada hii inakuhusu, '''amani tuliyonayo haikushushwa na mungu''' = fahamu kwamba kila jambo liwe baya au zuri lipo katika miliki ya m'mungu. ''' waislam na wakristo mungu wetu ni mmoja''' = fahamu kwamba waislam mungu wao ni mmoja, hakuzaa wala hakuzaliwa wala hafanishwi na kitu chochote na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, mpira ni magoli sio chenga!

    ''kufungwa twafungwa lakini chenga twawala'' ndio nini sasa? mashabiki tunataka magoli sio chenga! baada ya kichapo cha magoli 22 kwa 05, chadema naona sasa mmeanza kuweweseka, hakuna haja ya kutafuta 'x' wakati hesabu ya 22 na 05 ni rahisi na aihitaji mjadala.
Back
Top Bottom