Recent content by Kiboko ya washamba

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kakobe: Acheni Siasa za Chumbani, Siasa za Haramu

    Hawa ni manabii wa uongo wapo wengi tu kwa sasa, na wameshatafsiriwa kwenye bi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kakobe: Acheni Siasa za Chumbani, Siasa za Haramu

    Jamani hamjui huyu ni kati ya MANABII WA UONGO WALIOTAFSIRIWA KWENYE BIBLE? MBONA WATZEE TUNA AKILI ZA KUAMBIWA?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Kuna nyoka mwenye ndimi mbili ndani ya Nyumba ya CCM

    Ndg,hiyo ndio asili ya waswahili, we mzungu mweusi hongera, ila sizani km ulishawahi kuishi nchi za wazungu si watu km hivyo mnavyofikiria wengi wenu, acheni ushamba kwa kuona kila kizr cha wazungu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Je, watanzania tuna matatizo gani?

    Tulikuwa na rais mkapa kiukweli alikuwa ni mkali na aliyeibinya democrasia, mfano wa kuminya democrasia ni kudumaa kwa vyama vingi, tulishuhudia magazeti mengi tu yakifungiwa. Kaja KK kaiachia democrasi ichukue nafasi yake na ndio maana hata jamii forum ipo, mpaka waimba hip hop nao wabunge...
  5. K

    JamiiForums Tanzania kumbe zile dawa fake za ARV, hazikutengenezwa Tanzania, tupate ukweli

    wabaya wako Mr Madabida tutakula nao saani moja
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kero za wananchi Jimbo la Kigamboni na majibu ya mbunge...

    Ndugu una maanisha nini unaposema watu wa kigamboni uswahili mwingi?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu amponda JK na wanachama wa SAIGON!!

    Pole sn ulimwengu JK sijui kakukosea nn? hii si mara ya kwanza kumuandama, pamoja na kuwaachia uhuru wa kuongea haimaanishi uongee chochote km ajakupa shavu ww kampa mwenzio maana tupo wengi.Lkn nikuulize unaijua vzr SYIGON?????????????? Acheni wivu wa kike JK amefanya mengi sn mazuri tatizo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Mwangosi: Rais Kikwete ametoa Rambirambi?

    Kwani kafa Mwangosi tu???????????? au yule wa moro sio mtu???????? Acheni ubaguzi thamani ya roho ni sawa tu hata km muuza magazeti.........................
  9. K

    JamiiForums Tanzania M4C Masasi yadoda, yahitajika nguvu ya ziada

    Ndio maana tunawaambia chama chenu bado kichanga CCM ni taasisi kubwa.............alaf mnataka nchi
Back
Top Bottom