Kakobe: Acheni Siasa za Chumbani, Siasa za Haramu

Hajapotoka Mkuu Hebu wachambue viongozi wetu Wakuu ndani ya CCM nakuhakikishia Kama kigezo kingehusisha Na uadilifu ndani ya ndoa Hakuna hata mmoja ambae angepita

Hakuna mtu msafi hata mmoja ndani ya CCM
 
Katika salaam zake za Christmas jana katika Kanisa la F.G.B.F, Mwenge, Dar es Salaam, Askofu Mkuu Zachary Kakobe amezungumza kwa takribani saa mbili nzima mambo mazito sana kuhusu Uchaguzi Mkuu, Tume huru ya Uchaguzi, Ukabila na Ukanda, kufukuza viongozi katika vyama vya siasa na Serikali na mambo mengine mengi kuhusu mustakabali wa Taifa na mambo ya Kiroho. Kalamu na wino havitoshi kuyaandika. Tafuta wasaa wa kusikia hapa unedited full version ya mahubiri yake ya Christmas.




Gazeti la Mwananchi limepotosha kabisa ukweli huu na kuna mgongano wa kweli mtaani kati ya watu waliosikia live na watu wanao soma gzt la mwananchi.
Hii ndo dawa haswa ya kuwamaliza Mwananchi na unafiki kwa kuwa hapa mtumishi amepongeza na kukemea watawala
 
Last edited by a moderator:
huyu ndio yule ambae unabii wake aliupata nigeria!
halafu alishawahi kutuaminisha kuwa Augustine mrema ni chaguo la christo yesu!!!
huu ni ujinga toka kwa mjinga ambaye yuko katika kundi la wapinga kristo.
muulizeni kwa nini hataki kuonana uso kwa uso na FATHER NKWERA wa katoliki wa wanamaombi!??
get blinded by politics damn it...
 
Kiongozi anapozungumzia jambo ni vyema akajitazama mwenyewe kwanza kwa wanaomfahamu Kakobe ni mtu alieanza shughuli za kwa kuuza kanda za kaset pale Temeke mwisho akiwa na studio yenye jina la Edition Mlanga

Baada ya hapo ndipo alipobadilisha biashara na kuingia katika dini ambayo imemletea utajiri mkubwa mpaka sasa watoto wake wanasoma Marekani.

Suala la kujiuliza utajiri aliokuwa nao ameupata wapi na kwa nini asitumie utajiri huo aliokuwa nao kuwaendeleza hata waumini wake tu.

Kama kweli anauchungu na wananchi wa taifa hili badala yake anawachangisha michango mpaka mara nyingine wanakosa nauli ya kurudi majumbani kwao mara ngapi tunawapa lift waumini wake pale Mwenge.

ACHENI UNAFKI VIONGOZI WETU WA DINI MUOGOPENI MUNGU MNAYOYAFANYA NI ZAIDI YA WANA SIASA.
Ujinga ni mtaji wa wanasiasa Wachovu wasiokubali mabadiliko .Humu Jf sio wajinga kiasi cha kutomfahamu Kakobe.
Humu ndani ya Jf na hata You tube zipo comment zake zinatisha!!!
Ameshawahi kutangaza mali zake na akaonyesha anapoishi yeye na familia yake !!!
Watoto wake wate wapo hapa hapa nchini na sisi wengine ni walimu tulioshiriki kuwafundisha na wakati mwingine wakifukuzwa kwa kuokosa ada. Tunaweza kukutajia shule zote walizo soma watoto wake na , mahali zilipo!!!
Kwa taarifa yako hakuna kiongozi wa dini ambaye anaishi nyumba kama anaishi Kakobe!!!
Wadanganye wajinga wasiosoma jf humu sio!!!
Ni vizuri unapojenga hoja ya ujinga usilete kwenye jukwaa la siasa jf, fanya hivyo kwenye jukwaa la siasa CCM !!
 
Muulize Ngeleja na nyaya zake za umeme, alipitisha kinguvu, laana ikamfuata , akaondolewa kwa aibu kwenye uwaziri, hana hamu na Bishop Z.Kakobe, tunasubiri nape amjibu, uone kitakachomkuta
 
Hongea Kakobe huwa napenda unavyoongea fact. Ni kweli hatuchagui kiongozi wa kutupeleka mbinguni
 
Naomba ujumbe huu ufike kwa viongozi wote wa serekali na upinzani na raia wote ili kupata mstakabali wa taifa letu
 


Viongozi wa nchi na Rasilimali zetu.

Aliendelea kusema kuwa Tanzania ni nchi iliyo barikiwa sana kwa kuwa na Rasilimali nyingi lakini wananchi wake ni maskini. Alisema, hii inatokana na kuwa na viongozi ambao hawana maono ya kuwaletea wananchi maendeleo badala yake wao wanajiangalia wenyewe na familia zao.

Hili linamhusu na yeye Kakobe moja kwa moja.Kanisa lake limebarikiwa sana kwa raslimali lakini waumini wake ni maskini wa kutupwa hana maono ya kuwaletea maendeleo waumini wake anajiangalia mwenyewe na familia yake.
 


Hili linamhusu na yeye Kakobe moja kwa moja.Kanisa lake limebarikiwa sana kwa raslimali lakini waumini wake ni maskini wa kutupwa hana maono ya kuwaletea maendeleo waumini wake anajiangalia mwenyewe na familia yake.

Hivi unafahamu rasilimali za Kakobe??? Umeona nyumba yake na kupima unachosema?? Fanya utafiti kuepuka Ujinga!!!
Ni vigumu sana mtu mjinga kumudanganya mtu Mwelevu!!!!!!!!!
 
Anapiganianchi iongozwe na Kiongozi mwenzake wa kanisa. Mjinga huyu anadhani taifa hili nila kikristo au la kidini?
 
" Tusiendekeze siasa za chumbani,hatumchagui kiongozi wa kutupeleka mbinguni bali tunamchagua kiongozi wa kutuletea neema hapa hapa Tanzania " - Askofu Kakobe


Hapa Askofu Kakobe umenibariki kabisa, wale wanaoshabikia udini, ukanda na ukabila wamepata somo hapa.
 
Back
Top Bottom