Recent content by kibogoyo02

  1. kibogoyo02

    Siku nilipogonganisha magari marafiki ugenini

    Hii story umecopy na kupaste.Kuna jamaa miaka ya nyuma aliandika,ilimtokea uko Moshi.
  2. kibogoyo02

    Mnaofanya mazoezi ya kukimbia kuna mambo mnadanganya

    Hii nakubaliana na wewe,wakati Niko kwenye my mid 20's nilikuwa na pace Kali,now nmerudi kujifua walau niwe na pace ya 4/km
  3. kibogoyo02

    Ni vituko gani ulishawahi kufanyiwa na mwenye nyumba wako hadi ukatamani uhame uache Kodi?

    Yaan ilkuwa shida......ilkuwa inabidi nikitoka mzigon nipite town nizuge mpaka saa nne usiku ili nikute mafundi wameliza kuchomelea mavyuma Yao na Mimi ndo nilale.......ilibidi niache Kodi ya miezi mitatu mzee
  4. kibogoyo02

    Ni vituko gani ulishawahi kufanyiwa na mwenye nyumba wako hadi ukatamani uhame uache Kodi?

    Dah mimi nilisafiri kama miezi miwili hivi....kurudi nikakuta mwenye nyumba amepangisha kibaraza changu Kwa watu wa garage
  5. kibogoyo02

    Bei za nyumba za kupanga Dar mbona kama ziko overpriced?

    Nmekaa Mbeya,Dodoma na Dar......katika majiji yote Dar ndo sehemu pekee Kodi ya pango iko reasonable.
  6. kibogoyo02

    HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

    Okay......nitakuja mzee......wacha nikupe hint mzee ukipata kununua gari epuka kutumia madalali mtafute mmliki personally.......mwaka Jana nmenunua ist Kwa 6M.......wakati ukiingia kwenye mitandao ya madalali bei ya ist inakwenda mpaka 13m
  7. kibogoyo02

    HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

    Kuagiza directly from Japan hadi inafika mkononi ni 23-25M. Kwahyo 15M napata
  8. kibogoyo02

    HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

    Nina Imani nitapata ikiwa madalali hawataingilia Kati......maana ukiagiza from Japan ni 23M.....so kuja kufikia January naweza pata Kwa hiyo bei
  9. kibogoyo02

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    We jamaa kila mtu maarufu ni classmate wako.....alifariki Yule mzee mmliki wa precision air ukaja hapa R.IP CLASSMATE
Back
Top Bottom