Recent content by Kibogoyio2020

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

    Wakati umefika sasa Kwa vyama vya upinzani kubuni biashara nyingine au kazi nyingi za kufanya ,kwani kuendelea kufanya siasa mnapoteza muda wenu bureeee, bora mkalime matango pori.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Matrafiki wa Tanzania hawajui wanachokifanya

    Mwenye kujua sifa za kuwa traffic polisi aziweke hapa
  3. K

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wanaokosoa Serikali wengi hawajaoa, hawajaolewa au wameachika

    Nimekumbuka wilaya ya chemba iliyoko Mkoa Wa Dodoma, mkuu mmoja aliomba kupewa talaka ikashindikana
  4. K

    JamiiForums Tanzania Watu binafsi wanaofanya biashara ya kukopesha kwa riba, wana riba kubwa,hawalipi kodi na hakuna sheria inayowabana

    Umenikumbufha kampuni ya enterprises financial limited IPO arusha na dar riba wanatoza 210%.pia wapi heritage financial limited ya Arusha.hapo jamaa ni wapigaji Wa Riba na wauzaji wakuu Wa nyumba za watanzania na viwanja.bora ziondolewe kama maduka ya kubadilisha fedha yalivyoondolewa.
  5. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU, Polisi waja na muarobaini wa rushwa za barabarani wakishirikiana na wadau

    Kuna mtindo umekuja polisi wanajificha porini na kutumia simu zao za smart phone kupiga Magari over speed, ukifika mbele unasimamishwa unaonyeshwa Picha ya gari lako na speed yako kwenye siku ya trafic mwingine, wanakudai rushwa na faini hawataki kukuandikia, mfano kuna eneo LA low gear, kule...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wagombea Serikali za mitaa CHADEMA na ACT Wazalendo wanapatikanaje? Mbona sioni kura za maoni zikifanyika?

    Mtasubiri sana,hakuna mgombea mtakayemuona mwaka huu.waliteuliwa na ccm ndio hao hao wameshapitishwa hakuna kupigiwa kura wamepita bila kupingwa.
  7. K

    JamiiForums Tanzania DC Iringa Mjini, Richard Kasesela amelazimika kuomba radhi kwa umma baada ya kutoa taarifa feki ya kifo cha Dr. Salim Ahmed Salim

    Huyu anatakiwa achukuliwe hatua za kinidhamu haraka iwezekanavyo.yeye ni msemaji Wa serikali?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Gari kutokuwa Stika ya Nenda kwa Usalama Barabarani ni miongoni mwa Road Traffic Related Offences na upatikanaji wake uko vipi??

    Tatizo ninaloliona ni mwamba unanunua sticker hupewi risiti ya efd machine.
  9. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Waziri wa nishati Dr medard alitangaza kuwa wateja wanaohitaji umeme watapatiwa nguzo bila kununua.he kauli hii ni mikoa mingapi imeanza kuifanyia kazi kauli ya Mh Waziri? Je na nguzo na transfoma ni bure je mteja wa tanesco anayehitaji umeme anatakiwa alipishwe Gharama zipi zingine na ni...
  10. K

    JamiiForums Tanzania TBS chunguzeni ubora wa majani ya chai ya kiwanda cha AFRI TEA AND COFFEE BLENDERS LIMITED.

    Pia TBS wachunguze kiwanda cha Rangi coral paints ,Rangi zimeoza na zinatoa harufu haifai hazifai kwa matumizi ya ujenzi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ajali ya basi Safari Salama mkoani Morogoro bodaboda wamerudi tena

    Aliyeruhusu mabasi ya a Aliyeruhusu mabasi ya abiria kusafiri masaa 24 kuna siku atajiuzulu nafasi aliyepewa na Mh. Rais wetu.watu watakufa sana sana kwa ajali za usiku,huwa madereva wa mabasi wanasememaga usiku hakunaga serikali hivyo speed ni 120 kms per hr.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuvuta maji kwenda katika nyumba huwa ni bei gani kwa mita moja hapa Mwanza?

    Bora wafafanue bei kama walivyo tanesco na waziweke kwenye mtandao watanzania wajue ABC kuhusu Gharama za Maji kuunganishiwa.kila Mwanza being za huduma ya Maji ziko huu kuliko mahali pengine Tanzania.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi awasimamisha maafisa ardhi 183 kupisha uchunguzi

    Viwanja vya liganga meru na kule kiligolf alipiga dili sana.na sio kwenye mfumo wa kodi
Back
Top Bottom