Recent content by kibla angle

  1. kibla angle

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kwanini Serikali inaogopa Wachunguzi wa Kimataifa? Ushauri wa Lema swadakta

    Just curious, Tokea tupate uhuru tuliisha wahi kuwaleta hawa wachunguzi wa nje kwa matukio yanayoendana kama hili?
  2. kibla angle

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa miradi mikubwa ya SGR, Stiegler's Gorge (SG), Gas( LNG), Liganga & Mchuchuma kwa mikopo toka China. Je, tutarajie ya Zambia na Sri Lanka?

    Mbona kama hiyo loan ya Exim bank ilipigwa chini..Mimi najua phase ya kwanza I.e DAR to Morogoro wanatumia pesa yetu ya ndani. then phase ya moro to dodoma wamepata mkopo kutoka Stadanrd charted bank. Phase zilibakia hela haijapatikana bado. Sasa wewe hizo za Exim bank unazo ongelea ni zipi boss.?
  3. kibla angle

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kupasha chakula kwenye microwave huathiri ubora wake?

    Chukua simu yako ya mkononi weka kwenye microwave. Then call it through another phone, Ideally inatakiwa isipatikane. Kama ikipatikana , then hiyo microwave inarelease waves hadi nje so stop using it...Cited from Science of stupidity BY NAT GEO. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kibla angle

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 maskini zaidi duniani: Tanzania ya 9, Uganda ya 3

    Kuna nchi kama Yemen, Central Africa Republic, south Sudan, Somalia, mbona kama tunawapiga bao mbali sana. Au wametumia vigezo gani boss? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kibla angle

    JamiiForums Tanzania Je, huyu naye ataondoka Afrika Mashariki bila kukanyaga Tanzania ?

    Ndio.., hakupita Uganda, Rwanda, na Burundi pia. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kibla angle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taja mzinga mkubwa kuliko wote ulishawahi kupiga ama kupigwa

    620000 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kibla angle

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    hivi lake sec si ni private ama?
  8. kibla angle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KQ faces rougher skies as Uganda, Dar revive their national carriers

    Is it kilakala or msalato international airport?
  9. kibla angle

    JamiiForums Tanzania JNIA, DAR: Rais Magufuli katika uzinduzi wa mradi wa rada na mapokezi ya ndege mpya ya ATCL

    Hatudandii boss. Napenda tu kujua maoni yako. Ndo maana ni open forum.
  10. kibla angle

    JamiiForums Tanzania JNIA, DAR: Rais Magufuli katika uzinduzi wa mradi wa rada na mapokezi ya ndege mpya ya ATCL

    So what are you suggesting?
  11. kibla angle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BREAKING: Rwanda yaondolewa AGOA. Tanzania na Uganda tunahesabiwa siku

    DAA!
  12. kibla angle

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Uingereza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia?

    Hapana....kama kuna kitu ambacho football world akiwemo FIFA hapapendi ni kuhusisha politics na mpira.
  13. kibla angle

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Uingereza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia?

    Hii issue mzee wenger aliwahi kuiongelea , akiwapondea marefa wa EPL kuua quality yao ni ndogo ndo maana FIFA haitawachagua. Naona yametimia.
  14. kibla angle

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini kuhusu Redio ya Kaseti

    Ahahah. Nakumbuka ukitaka ku rewimd unatumia pen ya biki tu. Sema kasheshe ilikua kujua exactly ngoma unayotaka inaanzia wapi.
Back
Top Bottom