Wee Mbulula kanye kwanza kisha ujisafishe ndo uje na kiswa-english yako hapa jukwaani, nimezoea kuona walevi wakichanganya lugha ya kiswahili na kiingereza, sijui nawe ni mmojawao????!!!!
Weee chokoraa unajua nini? Mbona unapenda kutoa dharau kwa walimu, hoja yako ni walimu 6 kulala ofisi moja kwa kukosa makazi, hyo hoja ya mishahara midogo na ndiyo mzee inatoka wapi!!! Acha uzwazwa wewe upinde..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.