Recent content by Kibingu

  1. Kibingu

    JamiiForums Tanzania Makundi ya wanajeshi wa Urusi waanza kugomea vita vya Putin

    Hujasikia US amepeleka silaha nzito za maangamizi ya Moscow. Zelensky ameitangaza Moscow kuwa makazi ya popo soon. Mrusi anakimbilia kwenye mahandaki
  2. Kibingu

    JamiiForums Tanzania Makundi ya wanajeshi wa Urusi waanza kugomea vita vya Putin

    Warusi wamejificha kwenye mahandaki. Moscow inaangukia mikononi mwa mbabe wa vita Zelensky.
  3. Kibingu

    JamiiForums Tanzania Makundi ya wanajeshi wa Urusi waanza kugomea vita vya Putin

    Jeshi la Urusi limeteketea wamebaki masalia wachache ambao nao wamegoma kupigana. Zelensky yupo njiani kuelekea Moscow
  4. Kibingu

    JamiiForums Tanzania Makundi ya wanajeshi wa Urusi waanza kugomea vita vya Putin

    Putin naye kakimbilia porini. Kremlin hakukaliki.
  5. Kibingu

    JamiiForums Tanzania Membe Kurudi CCM, Je, Taratibu zilifuatwa?

    CCM ina wenyewe. Usituvuruge kizembe. Sisi tuna nipango yetu
  6. Kibingu

    JamiiForums Tanzania US preparing to approve advanced long-range rocket system for Ukraine 

    Mbona mmarekani mnayemwona kama mungu alikaa Afghanistan miaka 30 bila kufua dafu akakimbia?
  7. Kibingu

    JamiiForums Tanzania US preparing to approve advanced long-range rocket system for Ukraine 

    US hana mpango wa kushinda vita bali anataka Urusi ivuje damu ya kutosha.
  8. Kibingu

    JamiiForums Tanzania US preparing to approve advanced long-range rocket system for Ukraine 

    Bado sana. Mwisho wa hii vita mrusi atajitwalia Donbas region, Ukraine atabakia upande wa West. Wananchi wasiokuwa na hatia wa Ukraine watarudi kwenye magofu wataanza kulishwa kama kuku wa broiler na wazungu na kudhalilishwa kwenye media. Tamaa ya US ilikuwa Urusi ishindwe kabisa, na Ukraine...
  9. Kibingu

    JamiiForums Tanzania Idadi kubwa ya Waislam (99%) inaweza kuwa kikwazo cha Uturuki kutokuwa mwanachama rasmi wa EU?

    Muungano feki wa Tanganyika na Zanzibar
  10. Kibingu

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapokea mkopo wa trilioni 1.2 kutoka Benki ya Dunia. Kuboresha tabia nchi, usalama na barabara

    Hawajafikia asilimia 30 ya wakazi wa Dar
  11. Kibingu

    JamiiForums Tanzania Urusi yashambulia miji 40 katika mikoa ya Donbas na Luhansk

    Tuliza mrusi atwae nchi
  12. Kibingu

    JamiiForums Tanzania Donbas itarudi tena kuwa Ukraine-Zelensky

    Zelensky ni muimbaji mzuri sana wa taarabu. Ama maneno kama demu wa kizaramo aliyevuta bangi.
  13. Kibingu

    JamiiForums Tanzania Billionaire Shillah amzawadia pisi kali gari aina ya Crown

    Bila picha ni uchonganishi
  14. Kibingu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tunazidi kujiimarisha vijijini

    CHADEMA haters mnachukia sana mafanikio ya hiki chama.
Back
Top Bottom