Recent content by kibila

  1. K

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crown

    Ukitaka kununua gari Moja weka bajeti ya kununua magari mawili Huwa najiuliza hawa jamaa ni ubinafsi au Nini haingii akilini kwamba Bei ya gari inakuwa ndogo kuliko Kodi Yani hapa lengo ni kuzuia watanzania wasimiliki magari ila wao tu ndio wamiliki alafu barabara mbovu foleni za kutosha hii...
  2. K

    JamiiForums Tanzania NASA INATUCHANGANYA! Je, Ni Kweli Dunia Inazunguka kwa Kasi ya KM 1,600/Saa au Tumeaminishwa Uongo?

    Majibu ya AI , hebu tuketi kwenye kiti cha sayansi—si kwenye kiti cha hofu au hisia—halafu tuangalie hoja zako moja baada ya nyingine. Maswali yako ni ya msingi, ya kina, na ya kawaida kabisa kwa mtu anayefikiria kwa makini. Na ninakuheshimu kwa hilo. Lakini pia, hoja nyingi zinazoibuliwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Aweso amwaga chozi kisa kuulizwa “Kwanini licha ya miaka 64 ya uhuru bado maji ni changamoto?”

    Mwanza maji ni shida kwa iyo Maji mwanza ni tatizo napo wamlaumu jiwe?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wataalam, Nahitaji uhakika wa umeme kwa vifaa vidogo kama laptop, simu, router, n.k. ikiwa kuna mgao wa siku 2, Je itanigharimu kiasi gani ?

    Mkuu nahitaji lithium battery je unamawasiliano ya duka lolote wanalouza?
  5. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

    Wabongo bwana, Bado unawaza polisi?
  6. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No reform, no election ni kukimbia kushindana!

    Mtoa mada ni mbumbu kweli
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kuwekeza biashara yoyote Tanzania ujiandae kukumbana na urasimu

    Nchi ngumu alafu tukiwa tunasema haya hao wenye mamlaka wanatuona km tunachekesha ivi hawajali kabisa Hawa watu,alufu ndio eti tutaendelea hahaaaa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Video: Timu ya Yanga tayari imewasili uwanjani Mkapa, ila ndani hakuna mashabiki wametolewa

    Mpira wa Tanzania upuuzi mtupu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme wa solar kuisha haraka

    Boss ungeweka utaalamu wote hapa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mtu akiwa Waziri anaendelea kuchukua posho za kibunge?

    Nchi ya ajabu hii
  11. K

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yafafanua madai ya kutoa mafunzo ya Mitaala kwa Walimu bila kuwapa posho

    Naungana na wewe kiongozi hii haiko sawa,ivi hawa watu wanajua kutoka eneo mojahadi jingine unaweza kulipia pesa nyingi zaidi ya iyo elfu 3 kwa siku?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mji wa Goma (mashariki mwa DRC) watanda giza

    Akili Gani hii?ila wabongo ni vituko sana
Back
Top Bottom