Mimi dosari kubwa kabisa ambayo naweza kuiona kwa mwanamke ni kunuka mdomo. Tena nikishakugundua una harufu ya mdomo ujue uchumba wetu ndiyo unaenda kufa kifo cha mende very soon!
Yanga kwa nini wanakuwa na tabia za dhuluma? Wamlipe pesa zake huyo mzungu. Yanga ni matapeli ndiyo maaana Fei Toto kaamua kujiweka pembeni na haya mauzauza.
Wadau mimi nashauri mama apewe madaraka hadi 2035. Hii itasaidi kuwavunja nguvu Sukuma Gang na ndoto zozote za Urais wa taifa hili. Naomba WaTanzania wote wapenda maendeleo muniunge mkono khs hili jambo.
Kitendo cha mzee Job Ndugai kufukuzwa uspika inabidi watu wote wapenda demokrasia tufurahie. Ndugai hakuwa na nia njema na utawala wa mama Samaia Suluhu Hassan.
Inauma sana kaka. Magufuli siyo kiongozi mzuri hata kidogo. Ametugawa sana Watanzania. Magufuli ni mjanja mno: anatumia ile falsafa ya "Divide and Rule".
Magufuli ni muongo huyu jamaa. Hataongeza mishahara hata kidogo. Watumishi wa umma musidanganyike. Safari hii Magufuli akirudi tena madarakani mujue atakuwa mtu mbaya zaidi kuliko hata alivyokuwa miaka mitano iliyopita. Chondechonde Watanzania wenzangu tushikamane sote kwa pamoja tumpunzishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.