Recent content by KIBANAMAYOHA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mdada natafuta mchumba

    napenda kujitokeza hapa kutafuta mwanaume ambae yupo serious na anahitaji mwenzi wa maisha ,elimu yangu ni ya chuo kikuu mimi ni mrefu ila sio mnene sana wa kawaida MIMI NIPO SERIOUS ILA NIPO CHUO KIKUU NAKUJA HUKO ULIPO, nina miaka 24, je upo tayari. Mapenzi hayachagui umri.
  2. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Retreat ya kesho Moshi hizi ndio dondoo za kitakacho jadiliwa

    Wakimfukuza utagombea wewe?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nimeshudia Hawala Akipigwa Chupa na Mwenye Mume

    "mimi ni shahidi namba moja wa tukio hilo" wE NDIO ULIANZA NA HUYO MUARABU? ULIONAJE? NA WALIKUWAJE? JE HUKUTAMANI MAVITUZI?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nani wa kuzaa nae?

    "bora kuzaa na mwanamme handsome bwana akupe mbegu/sura safi ya mtoto,mwingine akamwambia hapana vizuri uzae na mwanamume Msomi kichwa inachemka,atasaidia kupata mtoto mwenye akili na kupunguza ma ada ya shule kwa kutokuwa mzembe darasani, TATIZO HAO WOTE VICHWA VYAO NI MBURURA NDIO MAANA...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Haya ndio madudu yaliyotokea kwenye usaili tare 15.12.2012, Kinachoendelea UTUMISHI ni kiini macho

    Hi nchi ajira kwa akina wanawake na wanaume zinatofautiana, huko maofisini
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanawake wenye makalio makubwa wanapendwa sana siku hizi?

    mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh makubwa kweli hayo mmejuaje jamani
  7. K

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio mwanaume wa ndoto zangu

    Kumbuka wewe unatafutwa, kwa hiyo inategemea hao uliowataja, je wanakuhitaji? for anything also i beg to remain neutral
Back
Top Bottom