Kiba anapata promo aonekane yupo juu ili kumshusha mond, ni kama Kwa Kanumba na Ray tuliaminishwa ni washindan lakni Ray alikuw anatembelea huu ushindan kuonekana yupo juu lakin hamna kitu, ni kama kwa Kiba na Mondi, Mondi ni level zingne sio Level za Kiba, Kamkuta kiba kweny Game, kajituma...