Recent content by torvic

  1. T

    Makosa matano ya Wafilisti kwa Samsoni

    kama umeshindwa kuamini hilo la samson je la Mussa kutenganisha maji ya bahari utasemaje?
  2. T

    Ndoto ambazo nimekuwa nikiziota kwa muda mrefu sasa na kiukweli zinanitesa sana

    Ndoto ni tafsri na ishara za mambo ya kiroho kwenye nyakati zote wakati uliopita, uliopo na ujao. Lakin si ndoto zote ni zakiroho. Msijikute wasomi wa kindezindezi mnatoboa mpaka chuo kikuu kwa d mbili, mkifika humu mnajikuta mnajua kila kitu.... Ndoto ya kwanza umeota unaporomoka kwenye...
  3. T

    It hurts me when no one will notice where ever I go

    unasumbuliwa na nini mkuu, ebu jaribu kufunguka kiundani unaweza kupata msaada
  4. T

    Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    naunga mkono hoja/I connect arm the topic
  5. T

    Kwako Pesa nyingi ni shilingi ngapi?

    Matumizi hayaishi kwaiyo na kiasi cha pesa kitakuwa hakina idadi, SHILINGI ZOTE NAHITAJI.
  6. T

    Kwako Pesa nyingi ni shilingi ngapi?

    Pesa nyingi kwangu ni ile pesa naweza kuitumia kwa matumizi yangu na isiishe.
  7. T

    Usimwamini mtu yeyote, pia nahitaji ushauri

    Pole sana mkuu, kama hakuna hata mkataba au papers za kuonesha ushiriki wako wakununua hiyo gari basi kuna nafasi kubwa sana ya kutapeliwa mazima na huyo rafiki yako. Kuepuka kutapeliwa fanya hivi kama utaweza, Kwanza, endelea kuwasiliana na rafiki yako kuhusu kuliuza gari jitahidi usioneshe...
  8. T

    Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

    Nasubiri siku waitoe kabisa hii level ya advance watoto wasome mwisho ordinary level. Advance ni kupoteza muda tu
  9. T

    Hakuna chochote cha kupigania katika maisha

    Generation zedi (z) hawataki nakala za kugusa nyoyo kama hizi. Inasikitisha.
  10. T

    Mungu na dini ni vitu viwili tofauti. Mungu hasomi wala haandiki

    Dini ni sheria Dini ni utamaduni Dini ni historia Kwa sababu chache za hapo juu zinafanya dini kuwa ubanguzi na matabaka. DiNi SIO MUNGU. Mungu ni IMANI.
  11. T

    Safari yangu ya kutafuta maisha mjini

    Ni mwendo wa maepisodi
  12. T

    Jamani nilichokikuta kwa mfanyakazi wangu kupika chipsi zege na samaki

    mbona kama samaki wakufungwa wale gold fish
  13. T

    Wafanyabiashara mnaofanya biashara kimazoea jiandaeni kisaikolojia na ujio wa kina "Niffer" wengi zaidi

    Tukizungumzia biashara tena biashara za Tanzania ni vurugu mechi patashika nguo kuchanika yani fouls za kutosha hakuna haki kwenye angles zote, Kwaiyo Bi niffer azidi kupambana tu kwa upande wake na KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE. vita ni vita Muraaah!
Back
Top Bottom