Recent content by Kiazi Kikuu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani kwenye hii picha?

    ladies first au?:angry: <input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="if(typeof(jsCall)=='function'){jsCall();}else{setTimeout('jsCall()',500);}" id="jsProxy" type="hidden">
  2. K

    JamiiForums Tanzania Aliyewaonyesha kazi wavulana kidato cha nne huyu hapa.........

    Jamani kuna kina dada wengi tu wanapasua mbuga kimyakimya. Mimi namkumbuka dada mmoja anaitwa Vicky Manyanga alikuwa kipanga sana, nasikia sasa hivi keshapata PhD huko ughaibuni. Big up girls!:A S crown-1: <input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Baba yangu mshirikina

    baba yako: jk hayahaya: shekhe yahya solution: ingia msituni ukajifue
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Pole sana boflo. inaonekana siku hizi watu wana stress sana za maisha. Nakushauri unapomega tunda wala usiwaze mimba wala nini, wewe enjoy ndoa yako tu. Utashangaa maajabu ya Mungu. Mimi hapa najiandaa kufunga uzazi kutokana na watoto wanazidi kuongezeka kila kukicha. Kama wenzangu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro yu wapi?

    Jamani wana-great thinkers, ni muda sasa hakuna lolote linaendelea kuhusu Jerry Muro. Kumetokea nini? Mwenye nyepesi nyepesi naomba anijuze!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    Tanzania inatisha! kama wazee wetu ndo hawa, tutakimbilia kwa nani?
Back
Top Bottom