Unapoongea kuhusu ishu kama hii jaribu kuishirikisha akili yako japo kidogo. Kwa hiyo kwa point yako hiyo unataka kutuaminisha kwamba Sizonje baada ya kuyaona ya ACT akaamua na yeye kulipiza!!
Umesahau na hii mkuu,
Baada ya kuyasikia maneno ya Lisu niliamua kuondoka zangu, sijui kilichoendelea baada ya mimi kuondoka, mara Lisu alipomaliza kuongea alipanda gari yake akaondoka!! Yaani alijiaibisha sana
Ukiona CCM wanampigia Magufuli kampeni ya kukaa madarakani mda mrefu ujue washaona hakuna dalili nzuri kwa chama chao chaguzi zijazo. Magufuli amebaki mkombozi wao pekee akitoka yeye hakuna wa kureplace nafasi yake. Wote huo ni uoga kwan CCM inafifia siku hadi siku
Nilipofika hapo ulipoifananisha Tz na N.Korea na hamu ya kuendelea kusoma imekwisha, hv umekosa mifano mingine mpaka unaifananisha Tz na Korea? Nafikiri watakaozaliwa miaka mia ijayo ndo watakaoweza kutumia mfano huo ila siyo kizaz hiki maana Tz bado sana kuwafikia hao jamaa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.