Siku moja nilimuita demu wangu kanikuta bar. Sikutaka kumpeleka kokote zaidi ya kupata story tu ili zinogeshe mvinyu yangu ingawa yeye alikuja amejiandaa. Story ziliponoga na giza limekolea plus bia tukajikuta tunashikanashikana hadi genye zikazidi, alivua pichu kitu kikazama hapohapo kukiwa na...
Umachofanya sio sawa hata kidogo. Wewe msaidie bila kumkomoa. Haya ni maisha tu huwezi jua kesho utakuwaje. Usishangae huko mbeleni ukaja kuchakaa kuliko alivyo sasa na yeye akaja kufanikiwa zaidi yako. Hii ni dumia na maisha yanageuka wakati wowote bro!!
Ni umri tu. Wengi tulikuwa hivyo kqwnye umri huo lakini umri unavyoongezeka na majukumu kuwa mengi yakiwemo shule za watoto na mambo ya kifamilia na kijamii automatically genye zenyewe zinapungua. Kuchepuka sio suruhisho hata kidogo zaidi utamzidishia mkeo stress akigundua unachepuka. Jicontol...
Utegemee kufanyiwa hivyohivyo utakapomzaa mtoto wa kike. Maana malipo ni hapahapa duniani. Mwanao watampiga mimba akiwa shule na usikasirike maana umefungulia pazia
Sent using Jamii Forums mobile app
Urafiki ni urafiki tu. Ukiupoteza lazima kuna mambo automatically utapungukiwa. Kikubwa kuwekana sawa ili vinyongo visiwepo. Jaribu kuwatumia marafiki wa pembeni kumrudisha jamaa kwenye mood
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hizo ukumbuke ukumbuke zina maana gani? Ni nani ulikuwa naye wakati huo ili umwambie akumbuke? Hizi chai nazo ni shida sasa[emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mapenzi hayazuiliki popote yapo tu!! Na kazi zinaenda kama kawaida. Ndiyo maana unaona watu wenye taaluma moja au kitengo kimoja wamaingia mapenzini hadi wengine kuoana. Mfano waalimu wanaoana, Watangazaji, watoa huduma hospitali nk. Hilo halikwepeki na kazi zinaenda kama kawaida
Sent...
Habari za leo wana jf. Naomba kwa wale waliowahi kuwa na mahusiano sehemu za kazi mtupe uzoefu wa kipindi mapenzi yakiwa motomoto na kipindi yanapokatika.
Binafsi nina visa kadhaa vya mapenzi sehemu za kazi kama ilivyo ada binadamu tumeumbwa kupendana.
Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuwa na...
Mimi ni mkazi wa Kigoma. Natamani sana kupata ushauri wa ki-biashara na uchumi katika eneo nilipo.
Wadau nisaidieni kama wapo maeneo ya Kigoma niwapateje?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.