Hamu ya kufanya mapenzi kila mara

Hamu ya kufanya mapenzi kila mara

Mwanaume usifike nyumbani mapema ili igizo mwache atizame na wanawake wenzie ili ukifika ni msosi kitandani na kitandani usioneshe nyege kabla yake mpandishe kwanza kisha kula mzigo wanawake huwa hawachoki ukiona anachoka au hataki kila mara huyo anachepka nje. Ila mwanaume usibembeleze **** kwa mke wako. Na wala usimlazimishe kama unaroho ya kiume tafuta za pembeni zina jenga heshima kwa mke
 
Ni umri tu. Wengi tulikuwa hivyo kqwnye umri huo lakini umri unavyoongezeka na majukumu kuwa mengi yakiwemo shule za watoto na mambo ya kifamilia na kijamii automatically genye zenyewe zinapungua. Kuchepuka sio suruhisho hata kidogo zaidi utamzidishia mkeo stress akigundua unachepuka. Jicontol wewe mwenyewe kwa kumpunguzia hata kama mwili wako unataka lakini kwa faida ya kumpa furaha mwenzio fanya kujizuia mara kadhaa
 
Mwanamke hawezi kufurahia tendo la ndoa kila unapohitaji wewe kwa hamu hizo zilizopitiliza.... Unatakiwa kujua Hilo. Kifupi unamtesa mtoto wa watu. Anahitaji kupumzika na kupata hamu ya tendo la Ndoa.... Wanawake hatuna hamu ya kusex kwa frequency ya wanaume.... Hata kidogo. Hapo mkeo anatamani upate safari ya kikazi wiki tatu/mwezi mzima.... Apumzike kidogo.
 
Mwanamke hawezi kufurahia tendo la ndoa kila unapohitaji wewe kwa hamu hizo zilizopitiliza.... Unatakiwa kujua Hilo. Kifupi unamtesa mtoto wa watu. Anahitaji kupumzika na kupata hamu ya tendo la Ndoa.... Wanawake hatuna hamu ya kusex kwa frequency ya wanaume.... Hata kidogo. Hapo mkeo anatamani upate safari ya kikazi wiki tatu/mwezi mzima.... Apumzike kidogo.
Aaaaah kumbeee !!! Sawa na asante kwa kunivujishia siri basi iliapumzike ngoja nitafute bi mdogo
 
Ni umri tu. Wengi wa wanaume huwa hivyo kwenye umri huo lakini umri unavyoongezeka na majukumu kuwa mengi yakiwemo shule za watoto na mambo ya kifamilia na kijamii, biashara automatically genye zenyewe zinapungua. Kuchepuka sio suluhisho hata kidogo zaidi utamzidishia mkeo stress akigundua unachepuka.

Jicontol wewe mwenyewe kwa kuupumzisha mwili wako hata kama unataka lakini kwa faida ya kumpa furaha mwenzio. Fanya kujizuia mara kadhaa. Kwani umeumbwa kusex kila dakika ..... Jaribu kujizuia mara chache. Mkeo atakukinai very soon.

Aaaaah kumbeee !!! Sawa na asante kwa kunivujishia siri basi iliapumzike ngoja nitafute bi mdogo
 
Yani hapo mama wa watu ni kulalamika tu, hadi anaomba ushauri kwa mashosti,,
Yaniii wajamenii mim mwenzenu,
mwenzenu ndoa yangu isha kua ghalika.. baba chichi anaweka mambo..
😃😃😃
 
Ni kipindi cha mpito unapitia ila ukizidisha umri wako mara mbili, yeye atakuwa anakusumbua kuwa anahitaji na haitakuwa inasimama. Lakini ukipata akina under 25 unapiga sita kwa mpigo. Maisha haya ni changamoto
😃😃😃😃😃 sahihi kabisa mkuu
 
Pata majukumu kwanza mdogo wangu,kuna muda papuchi utakuwa huiwazi tena
 
hizo hamu inaonekana unazitafuta kwa kuangalia pornography. acha kuangalia porno mkuu na hilo tatizo litaisha. acha kujitia nyege, acha kuzitafuta nyege kupitia porno.
 
Papuchi Ni kwa starehe. Hiyo dozi yako sio starehe Tena. Ni KARAHA. Mkeo anashindwa ku-communicate. Anafanya basi tuu. Mbembeleze siku moja.... atakwambia vizuri tuu
 
mkuu ushauri wa bure...
tafuta hobby ..hii hupelekea ndoa nying kuyumba lately....unatakiwa kuishi na mwanamke kwa akili...
ndiyo una haki naye, ila wanawake bwana hawakosi sababu, hapo utamfanya atafute hata mradi, akitoka job apitie ashinde huko mpaka saa tatu akirud aanze story za uchovu, huko atajenga marafiki wapya na kupokea external vishawish,,,unajua mke hata umpe hela vipi ni jukumu lako , ila akihongwa hata laki nje ataona bonge la bingoo....so kaa naye kwa akili, usimkaze sana ..anza kumpangia ratiba..una vusha hata siku mbili humpigi show,,ila hizo siku mbili ni care la ajabu,,mara mpike wote, mara ukamtafutie zawadi gafla usiku , mara mtoke mkale nje..ili mradi uwe busy naye..
waswahili tunaita ku marinate nyama..afu ikiiva unaila ipasavyo...unarudia tena....hii inasaidia kisaikolojia awe watayar na exited everytime anajua soon ntatombwa...sio daily anajua aah nakazwa leo..
Cheers.......!

Kingsmann



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana umri gani? Anakuwa wapi wakati mkifanyana?

Jr
Anatuuzia Chai labda Mwanae awe kwa Bibi yake lakini kama yupo home huyo mkewe atakuwa na muda gani wa kudo mara kwa mara wakati matoto hajala ,mtoto hajaonga ,mtoto hajalia,hajafua nguo za mtoto etc bado Mkewe hajapika!!
 
Back
Top Bottom