Recent content by Khushi pyaar

  1. K

    Wazanzibar nani sasa wakumlaumu?

    wakumlaumu ni nyinyi waTanganyika coz sisi waZanzibar tumejitahid sn ila dola ya ccm inatumaliza laiti na nyinyi waDanganyika mngesimama kidete km sisi waZanzibar basi tungefika ila tatizo nyinyi.
  2. K

    IGP Mangu kiboko ya CHADEMA

    waache tu hawajui walitendalo samaki hao
  3. K

    Wajumbe Zanzibar: Tuliwekwa kitako usiku kucha kuikubali rasimu

    Wazanzibar co wajinga wamechukua pesa kwakujua fika hakuna atakaepiga kura ya ndio kwa rasimu hii. mm nimzanzibar na tunajiujua na kujuana vizuri na wakilazimisha kupita ujue Tanzania ndo mwanzo wa vita.
  4. K

    Naomba Wanzanzibar watuambie ni kwa kiasi gani wameridhishwa na katiba pendekezwa

    Hatujaridhishwa hata kidogo na punde tu watapata salam zetu. mimi kama mzanzibar nipo radhi Zanzibar ipatikane hata kwa mtutu ila watakao baki wajitawale. I hate the United Republic of Tanzania. I hate politics. I love Zanzibar no matter what
  5. K

    Joseph Butiku yupo live ITV kwenye kipima joto

    2/3 ya zanzibar haikupatikana, waliforce tu
  6. K

    Joseph Butiku yupo live ITV kwenye kipima joto

    wewe kweli samaki unaliwa huku na huku.
  7. K

    Maria Sarungi only God knows where she came from

    kama utavougua wewe soon tu, punda wa muembe makumbi
  8. K

    Majina ya Wabunge wa BMK Waliopiga Kura ya Wazi ya HAPANA, haya hapa

    Elewa wewe ata kama sio ukawa kama hajaridhia akubali tu? hakuna aloshiba hata 1 watanzania wote tunanuka njaa km tumeshiba tusingekua tunaomba misaada. Zanzibar kwanza
  9. K

    Mh Kessy analipuka Bungeni

    wambie wajibu halafu ndo washangirie huo wanaoita ukweli wa keissy
  10. K

    Mh Kessy analipuka Bungeni

    hana ukweli zaidi ya chuki za kijinga.
  11. K

    Mh Kessy analipuka Bungeni

    hamjijui tanganyika inaendeshwa na mapato ya muungano ndo maana mnaung'ang'ania. nyie maskini sana ndo maana kazi zenu kuuza kashata, jojo maji n.k. ntaftieni mzanzibar ambae anatembeza vitu hivyo njiani mtamuona. Zanzibar maji safi hamna hata typhoid na uti huku ndo magonjwa yenu mnanuka njaa...
  12. K

    Mh Kessy analipuka Bungeni

    tatizo waTanganyika hamjielewi sisi wazanzibar tushakataa muungano zamani tangu ezni za karume mwenyewe na ndo sababu ya kuuwawa, Akaja Aboud jumbe na kuendelea mpk mwisho kina sheikh faridi
  13. K

    Kimewaka bunge la Katiba

    zigo ni tanganyika coz sisi tuna mambo yetu ambayo haihusiani na muungano je nyinyi mnayo? matumizi yenu yote mnatumia pesa za muungano loh ndo maana mnang'ang'ania
Back
Top Bottom