Habari wana Jamvi,
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa sekta au tasnia ya usafiri wa anga kwa ndani ya nchi na kimataifa.
Siku ya jana tarehe 21/04/2022 shirika la ndege la Tanzania lilikua na ndege yake Airbus namba TC 210 ambayo inatoka DAR-HAH (DAR-COMORO) ambayo iliruka saa 4 asubuhi kuelekea...
Habarini wanabodi na watanzania kwa ujumla.
Takribani wiki mbili na nusu shirika la ndege la Tanzania limekua na mfululizo wa delays za ruti zake mbalimbali.
Kwa wenye ushuhuda hapa jamvini wataweza kushea nasi hali ya safari zao walivyotumia shirika hili ndani ya wiki mbili zilizopita mpaka...
Mambo vipi...
Naona wote maskini ,mtoa mada na wachangia mada.
Ndo mana nilimpiga chini konda msafi sababu ni fukara wa kutupwa, mpenda mteremko na ana mawazo ya kimaskini.
Sasa story hata haijafika kati kashaanza omba omba hela za bando.
Ooh mara itatokea jina la kampuni.
Kama bando si...
Unjani.
Naandika kama mdau wa sekta ya usafirishaji watu na mizigo ,na napenda kutoa mawazo chanya kwenye kuisaidia serikali kwenye kipindi hiki cha janga la corona.
Siungani na wananchi ambao wao kazi yao ni kuilaumu serikali kwenye janga hili la corona.,mara serikali itangaze kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.