sisi hatujui kuishi kwa akili zetu je nyie mnajua kuishi kwa akilizenu tena nyie ndio mafala maana mgekuwa mnaishi kwa akili msingekamatwa na wake zenu, eti sisi hatujui kuishi kwa akili shenzi kweli wewe mama yako sio mwana mke kwa taarifa ukitukana hata mtoto wa kike ni sawa na umtukana mama yako
kabisa nia sio kumsaidia na usikute hana hata gari vijana ukijisikia kuoa wewe oa la msingi unaweza kutimiza yale mahitaji muhimu ya msingi ya wewe kama baba kuhakikisha familia yako inakula, wanauwezo wa kuvaa hata kama ni mitumba unauwezo wa kumpeleka wanao shule za serikali, unauwezo wa...
kwangu mimi si sawa kumposti X wake hata kama alikuwa anampenda vipi alipaswa ajizuie kumposti X wakati umeolewa kwakweli inauma maana hata kama yeye angefanyiwa hivyo angeumia na kujisikia vibaya, kwa hiyo mume wake yuko sahihi kabisa kununa na kumjibu hivyo maana nidhahiri kabisa huyo dada...
sahihi kabisa ebu mpe shule huyo maana naona hajitambu eti ananivumilia angekuwa ni mke angefanyaje si angempa msahara wote, tena watu kama hao mama yake mzazi akiomba hata shilingi elfu ishirini hampi.
sahihi kabisa unachosema, mtoto wa mjomba wangu alioa bikra lakn leo hii analia balaa bikra sio kwamba ukioa bikra ndio uko salama yaani nakwambia ndio umemfungulia mlango kila anayesema hodi yeye anasema karibu
wengine hata hawajasogezewa kiasi hicho lakin mwanaume akishamwona ameanza kupenzeza na yeye anaaza kutongoza mama ukitoka tu kidogo yeye anaanza hadi mwingine anakuambia mbona leo uko bize na majukumu ya home kwani vipi hue ndi kazini ukimwambia tu huendi anabadilika ghafla au mda mwingine...
pole mkuu ila hapo anapotamani chakula fulani au kinywaji fulani hiyo ni hali ya kawaida kwa kinamama wajawazito ili kwa hivyo vingine naweza sema anaigiza au asiingize hiyo pia inachangiwa na wewe mwanaume wenda unamdekeza sana, ila naomba akihitaji kitu cha kula kama unauwezo umpatie lakn kama...
halafu we jamaa acha ujinga eti unampenda ka mpende mke, kamjengee mkeo na watoto nyumba nzuri watakushuru na utapata baraka wewe unawaza kumjengea nyumba mwanamke aliyekuwa anakuweka mizani na mwisho wasiku anakuingiza line na we unaingia nasema acha ujinga wanawake wazuri hawaishi kila kukicha...
ukiona hivyo hupendwi endelea tu nasafari kuna mtu anapendwa na anajibiwa vizuri tu kwa hiyo uciumie chukuliwa kawaida wala ucimtukane ipo siku atajifunza na atatamani kurudi
pinga chini sio ufumbuzi wa tatizo utapiga chini wangapi? aulize kwanza mwenzio anashida gani kwani huwa anakuwa hivyo? kama hiyo ndio tabia yake basi ampige chini maana ukiona hivyo hupendwi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.