Vijana msioe kama bado hamjajipanga, unakuta mtu anampakiza mama mkwe kwenye gari kama passo, ist, vitz n.k

Mama mkwe wake anakuja toka mkoani. Sasa ananambia anataka akampokee airport.nikamuuliza utatumia usafiri gani. Anasema atatumia gari yake RAV 4 KILL TIME. nmeshtuka sana.

Nmemuuliza kama yupo serious.unawezaje mpakiza mama mkwe gari ya namna hiyo? Hiyo Rav 4 si ni sawa na IST tu engine yake? Nmemwambia aje home achukue BMW sababu mama mkwe wake atakaa Week then akae nayo tu week.

Alichonijibu ndo nmechoka. Eti hana uwezo wa kununua mafuta kwa ajili ya BMW... nmeshangaa sasa jamaa aliwezaje kuoa? Sometime vijana tunaoa tukiwa bado hatupo vizuri.

Nmemwambia nakuwekea full tank mwache mama mkwe aenjoy hapa mjini.nmemjazia mafuta atatumia week nzima. Kuhusu ajali nmemwambia asijali mi gari zangu zote iwe ile Benz, zile Range Rover mbili, Ford Ranger na BMW zote nazikatia Bima kubwa.

Mi nawashauri vijana msioe kama bado hamjajipanga.unaweza kuta mtu anampakiza mama mkwe kwenye gari kama passo,ist,vitz n.k hii inataka moyo sana.kikawaida ni ngumu.

Huto tugari ni kwa ajili ya kuwapa wadada wa kazi kwendea sokoni n.k but si kutumia mtu mzima. Mi nashauri tusione kabla ya wakati. Tusubiri tu...siyo kuja kuwapa shida watoto wa watu.

"The hungry man is angry" just come and spit your stuff. Sisi tunakula maisha.nyie je mnakula nini?
Kiduku Lilo mkibahatika kupata ajira jua kuna vijana wenzenu wanateseka kwa kukosa ajira; kupata kwako kusiwe sababu ya kuwasimanga wengine. Mama mkwe kuja kwa ndege haimaanishi vigari venye CC ndogo hawezi panda mbona UBER zote ni CC ndogo na wanapanda wengi tuu tena wenye pesa zao?

Unachopata wekeza vizuri na uache kusimanga ambao hawajapata mwanya / ajira kama yako
 
Kiduku Lilo mkibahatika kupata ajira jua kuna vijana wenzenu wanateseka kwa kukosa ajiri; kupata kwako kusiwe sababu ya kuwasimanga wengi. Mama mkwe kuja kwa ndege haina maana haimaanishi vigari venye CC ndogo hawezi panda mbona UBER zote ni CC ndogo na wanapanda wengi tuu tena wenye pesa zao?

Unachopata wekeza vizuri na uache kusimanga ambao hawajapata mwanya / ajira kama yako
Umeongea point kubwa mno,unawakarisha tamaa kabisa kuna vijana wengi tuu mtaani hatuna ajira sasa ukiongea maneno kama hayo si ndy unawavunja hata moyo wa kuwa kwenye mahusianoo, hayo magari unayomiliki wengine hata baskeli hawamiliki kabisaa , kama unahuruma wape na wao mbinu za kufanikiwa kama wew hata ikiwezekana wasaport kwa chochote na sio kujimwambafai hapa
 
Usichukulie serious sana. Huyo ndio kiduku lilo
Angalia nyuzi zake nyingine.
 
Umeongea point kubwa mno,unawakarisha tamaa kabisa kuna vijana wengi tuu mtaani hatuna ajira sasa ukiongea maneno kama hayo si ndy unawavunja hata moyo wa kuwa kwenye mahusianoo, hayo magari unayomiliki wengine hata baskeli hawamiliki kabisaa , kama unahuruma wape na wao mbinu za kufanikiwa kama wew hata ikiwezekana wasaport kwa chochote na sio kujimwambafai hapa
Peponi una sehemu yako ya kipekee mama
Hahaha na iwe hivoo
 
..........Huto tugari.............
Binafsi sioni kama nia ilikuwa kumsaidia jamaa, bali
1. Kutuambia aina ya magari uliyonayo...
2. Kutuambia idadi ya magari uliyonayo...
3. Aina ya magari unayopendelea......

By the way, unapimaje muda wa kuoa kwa kuangalia mali ulizo nazo? Usipozipata hutaowa?
kabisa nia sio kumsaidia na usikute hana hata gari vijana ukijisikia kuoa wewe oa la msingi unaweza kutimiza yale mahitaji muhimu ya msingi ya wewe kama baba kuhakikisha familia yako inakula, wanauwezo wa kuvaa hata kama ni mitumba unauwezo wa kumpeleka wanao shule za serikali, unauwezo wa kumpeleka hosptali ikitokea mwanafamilia ka ungua hayo mengine sijui nini ni bwembwe tu sijui kabila ngani huyu isitoshe hata nyumba hana kapanga
 
Wenzako wanaowa hawana hata kitanda sembuse unaongelea mwenye gari
Ukipata hata mwenye paso, vitz si unakuwa umeopoa embe chini ya mbuyu
 
..........Huto tugari.............
Binafsi sioni kama nia ilikuwa kumsaidia jamaa, bali
1. Kutuambia aina ya magari uliyonayo...
2. Kutuambia idadi ya magari uliyonayo...
3. Aina ya magari unayopendelea......

By the way, unapimaje muda wa kuoa kwa kuangalia mali ulizo nazo? Usipozipata hutaowa?
Binafsi nimemchukulia mshikaji kama anafanya masihara tu, kaanzisha UZI wa kutia watu hasira ili acheke, hayupo serious kiviiile.

Back to the topic; miji yote mikubwa duniani hua wanatumia gari ndogo kuzungukia mitaani, PASSO, IST, VITS, Suzuki swift nk sababu kubwa ni traffic jam na parking, long safari ndio utakuja na hayo ma BMW nk
 
Back
Top Bottom