hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,591
- 73,936
Kama unamfuatilia nakujua kua kila post yumo ina maana na wewe pia umo nae kwenye kila post,
Au nasema uongo ndugu wananchi?


jf bwanaKama unamfuatilia nakujua kua kila post yumo ina maana na wewe pia umo nae kwenye kila post,
Au nasema uongo ndugu wananchi?


jf bwanaKwani sini-mwanamke mwenzio Huyo !?Kweli kabisaaaa....naona anateseka na Mimi kutokuwa na KAZi...Mkuu atafute papuchi inalipa Sana...
MMMH KWELI WATU WANAUMIZWA,KUNA HAJA SERIKALI KUANZISHA KITENGO CHA WALE WANAOTESWA KIMAPENZI
HILI NI JANGA KUBWA MNOOOO


kwakweli serikali iingilie Kati ... Watu wanaachwa tu na serikali ipo tu ukiona hivyo hupendwi endelea tu nasafari kuna mtu anapendwa na anajibiwa vizuri tu kwa hiyo uciumie chukuliwa kawaida wala ucimtukane ipo siku atajifunza na atatamani kurudiMkuu mtu akinijibu kwa herufi P au unamwambia nakupenda anakujibu asante wakat ni mpenzi wako huna naona kma ni dharau kwangu
Nakuomba pm plsPole Sana huyo hafai kuwa wife material muache![]()
Ukiona hivyo jua ameshakuchoka au kapata njemba nyingine inamkuna kisawa sawaHabarini wana jamvi wa MMU, natumai mu wazima humu.
Daaaah, kiukweli kuna vitu vinakeraa sanah Ila ndo hvyo tu . haiwezekan unaamka unamtext MTU mamb umeamkaje anakujibu "P" tena ya herufi kubwa , unamwambia nakupenda yeye anajibu "sawa" tenah ya herufi ndogo .
Imenikera sana , sawa dawa take inachemka ntamkomesha , bora aseme kam nimemkera tu nijue.
Nb: tulivyokuwa wema mlitupa ubaya sasa mwaka huu tunakuwa kama mlivyotaka



Mhmm. Mbona kama ww mhusika wa mwanzilishi mada...Mkuu .tangu umepata binti wa kukudatisha na mauno Yake..Basi sisi wengine wote unaona tunateseka..
Nasema hivi "MNATAACHANA TU".
Pimbi Wewe![]()