The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,285
- 103,422
Yulee wakwako ambae hakujibu Wala hapokei ambae alikwambia haumpi uhuru kwanini na yeye usingeenda kumwambia yeye?? Ukajakutuambia huku.
Nilimlaumu yule jamaa ila nshaanza kuhisi wewe ndo tatizo.
Ha ha haaah kuna kantu amenipa mood kwakujifanya mjuajiVipi hapo Kazini unaendeleaje? naona umo humu pia 😀😀
Anamuogopa !!!Naomba umfikishie dukuduku lako muhusika...unakerekaje wakati was kumwambia yupo
Sikia bro inabid uwe muhun mbali na hapo utateseka snHabarini wana jamvi wa MMU, natumai mu wazima humu.
Daaaah, kiukweli kuna vitu vinakeraa sanah Ila ndo hvyo tu . haiwezekan unaamka unamtext MTU mamb umeamkaje anakujibu "P" tena ya herufi kubwa , unamwambia nakupenda yeye anajibu "sawa" tenah ya herufi ndogo .
Imenikera sana , sawa dawa take inachemka ntamkomesha , bora aseme kam nimemkera tu nijue.
Nb: tulivyokuwa wema mlitupa ubaya sasa mwaka huu tunakuwa kama mlivyotaka
Habarini wana jamvi wa MMU, natumai mu wazima humu.
Daaaah, kiukweli kuna vitu vinakeraa sanah Ila ndo hvyo tu . haiwezekan unaamka unamtext MTU mamb umeamkaje anakujibu "P" tena ya herufi kubwa , unamwambia nakupenda yeye anajibu "sawa" tenah ya herufi ndogo .
Imenikera sana , sawa dawa take inachemka ntamkomesha , bora aseme kam nimemkera tu nijue.
Nb: tulivyokuwa wema mlitupa ubaya sasa mwaka huu tunakuwa kama mlivyotaka
ucikereke mapema mulize anashida gani wenda na yeye amevurungwa kama siku zote hayuko hivyo jua kuna kitu, baada ya kumuliza utajua tu kulikuwa na niniHabarini wana jamvi wa MMU, natumai mu wazima humu.
Daaaah, kiukweli kuna vitu vinakeraa sanah Ila ndo hvyo tu . haiwezekan unaamka unamtext MTU mamb umeamkaje anakujibu "P" tena ya herufi kubwa , unamwambia nakupenda yeye anajibu "sawa" tenah ya herufi ndogo .
Imenikera sana , sawa dawa take inachemka ntamkomesha , bora aseme kam nimemkera tu nijue.
Nb: tulivyokuwa wema mlitupa ubaya sasa mwaka huu tunakuwa kama mlivyotaka
pinga chini sio ufumbuzi wa tatizo utapiga chini wangapi? aulize kwanza mwenzio anashida gani kwani huwa anakuwa hivyo? kama hiyo ndio tabia yake basi ampige chini maana ukiona hivyo hupendwiPiga chini uendelee na life
Mkuu mtu akinijibu kwa herufi P au unamwambia nakupenda anakujibu asante wakat ni mpenzi wako huna naona kma ni dharau kwangupinga chini sio ufumbuzi wa tatizo utapiga chini wangapi? aulize kwanza mwenzio anashida gani kwani huwa anakuwa hivyo? kama hiyo ndio tabia yake basi ampige chini maana ukiona hivyo hupendwi
Mkuu .tangu umepata binti wa kukudatisha na mauno Yake..Basi sisi wengine wote unaona tunateseka..
Nasema hivi "MNATAACHANA TU".
Pimbi Wewe![]()

umeshapona vidonda jeraha la moyo 