Ukiamin kuwa kuna hongo na kujuana utakuwa hufanyi vizur kwenye interview. Ukifanya ukikosa jipange vizur next time unaweza pata usiamin vitu vya kusadikika
Sizani kama kuna upendeleo binafsi nimefanya interview nyingi tu pale na kama kungekuwa na upendeleo basi nafasi ikikosa mtu wasingekuwa wana itangaza kwa mara nyingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.