Utumishi wa mahakama vipi?

Utumishi wa mahakama vipi?

nyamima

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2016
Posts
211
Reaction score
73
Baada ya interview utumishi wa mahakama mambo bdo kimya?
 
Hivi watumishi waliopitia pale law school wanapata mshahara kiasi gani kwa anayeanza kazi?
 
Nasikia wametoa mwananch la leo,ila cjapata uhakika bado.
 
Wametoa_leo_Gazeti_la_Mwananchi.
Nashukuru,Mungu_mm_nimepata.
 
Ww_andika_The_Judiciary_Services_of
Tanzania_kwenye_Google_then_website
Yake_itakuja_yenyewe
 
Naomba niangalizieni wadau niko kijijini sana na nacheki kwenye website yao...hakuna majina!
Amos David Mbalafu
Office Attendant
Amosi Davis mbalafu ..
kituo cha kazi....Mahakama ya hakimu mkazi Tanga...
ofisi ya kuripoti Tanga.
 
Back
Top Bottom