Recent content by khaulat89

  1. khaulat89

    Kwanini Mmarekani Armstrong alipokanyaga mwezini 1969 alisikia sauti ya Azaan?

    Qur an ni maneno ya Allah yaani ni ufunuo aliopewa Mtume swallahu alayahi wasalaam ili kuwa muongozo kwa wanaadamu wote
  2. khaulat89

    Kwanini Mmarekani Armstrong alipokanyaga mwezini 1969 alisikia sauti ya Azaan?

    Sina interest na hio mada ya mwezin ila usiinsult dini za watu
  3. khaulat89

    Pemba: Migomo Imeanza Kushamiri CUF dhidi ya CCM

    Sishangai mana wana hicho kisiwa wengi wapo nyuma kielimu...sio ya dini wala sekula ndio mana hukaa na kutoa maamuz mabovu ya karne ya 6.Mana sijui watamkomoa nani since wote ni wa hapo hapo kisiwani.Stupidity
  4. khaulat89

    CUF watoa tamko zito, Taarifa kwa vyombo vya habari

    Ha ha ha democrasia ktk uislam ndugubhaitambuliki kama ndivyo mnavyojidanganya.
  5. khaulat89

    Kinachoendelea Zanzibar ni aibu kwa nchi

    Umeongea vizur sana.Sisi tuliopo Unguja hali ipo kama kawaida.Pemba ulinzi umeimarishwa baada ya matukio ya uchomaji moto ya hivi karibuni.Ila nachukia siasa coz zinatutenganisha na washakaji zetu.
  6. khaulat89

    Uchawi: Nchi zenye IQ ndogo Africa na imani zinazotokana na ujinga

    Dini ya kiislam imejitosheleza sana sema ni ujinga watu na uvivu wa kusoma.
  7. khaulat89

    Egyptians didn't build Pyramids, Aliens did

    Yeah we are not alone and Im great beliver of that thing.Aliena are exist but who are they?They are demons.......they cevilesed first than us Do more reaserch and read more.
Back
Top Bottom