Recent content by Khaibar

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ila Trump ni wa sjabu sana.

    Vita imempalia huyo. Na mbaya zaidi inasemekana mafuta yanatokea Iran kitetesi.
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Katakuja na ufala wake mwingine hapa. Eti ukitoka airport kuna maji taka yananuka. Ilhali kila mara hupita hapo kuelekea Pugu mbona sioni hayo majitaka yakinuka!?
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hii imezidiwa speed na diesel locomotive yetu ya TRC inayoenda Kigoma.
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Vingunguti kuna maji taka yanayotiririka barabarani kama Kibera!? Kumbe naongea na FALA!? Vingunguti kuna umeme,kuna barabara za mitaa,kuna mfumo wa maji safi ya matumizi. Je Kibera hivyo vitu vipo!?? Pembezoni kule nyumba za mabati naziona. Na mind you nina demu Mtaita daily nachat naye...
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Unaonekana unaongea hata usichokijua. Unajua muundo wa reli ya SGR ya Kenya!? Achana na locomotives kwanza. Kenya reli yao ya SGR ni jointed rail. Yani kila pingili imejiachia. Muundo huu wa reli husababisha mtikisiko sana wa treni inapotembea hivyo kasi inakua ndogo na hakuna comfortability...
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Unataka kusema Nairobi yote imejengwa au sio!?? Akili za kimatope hizi.
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Onhoo kumbe we shoga!? Kuwa shoga wewe haimaanishi na wenzako mashoga. Aya tuliza kikata kimba hiko. Unplanned settlements ni makazi ambayo yamejegwa pasi na mpangilio kiasi kuathiri baadhi ya miundombinu. Ila huduma za kijamii zote zipo umeme,maji,hospitali,huduma za maji taka. Slums ni makazi...
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Changia mada bro ila usipende kumchagulia mtu cha kupost. Pia niliyemlenga najuana naye umedandia gari kwa mbele.
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Unashuka nafasi tatu chini ilhali Tanzania inapanda. Did you notice that!?? Tarajia tuwarudishe chini yetu kama mwaka jana.
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hii ni tournament MATAKO WEWE hii ni CAF SUPER LEAGUE nje na Cafcl na cafcc. Hiyo tournament ilikua hosted nchi mbili kama sijakosea. Ikiwemo na Tanzania.
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mie sio mgeni hapa ni wa muda sana. Na nimetoa tu maoni sidhani kama vibaya mtu kutoa opinion yake. Punguza ushamba mkuu.
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    We jamaa unachekesha sana. Chanika ni pembezoni mwa mji. Kwahiyo wewe ulitaka sehemu zote zijengwe kwa wakati mmoja!? Embu tumia akili kidogo mkubwa wewe sio mtutu.
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hizo ni unplanned settlements sio slums makalio wewe.
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    SGR ya Kenya ni ya hadhi ya chini ni sawa na reli yetu ya Mgr ya zamani. Yani reli yao ni jointed rail inatikisika kinyama. Sio sawa na yetu continous welded. Pili Tanzania ndio imejenga kilometa nyingi za reli ya SGR kuliko nchi yeyote hapa Afrika Mashariki na kati. Weewee tutakubabua sasa...
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Bro picha zingine usilete. Naona kama sio sawa aisee. Lete tu kuonesha slums basi. Ila picha za hunger and famine kama hizi hapana ni sawa na dhihaka usilete kaka.
Back
Top Bottom