Tiss ni kijitawi cha ccm hamna wwanachokifanya kwenye nchi kikaonekana. Kama nchi inaibiwa wapo. Ufisadi unafanyika wapo, utawaona wakishughulika na upinzani tu kwa mambo yenye tija kwa nchi wapo kimya.
Wanajamvi, sina nia ya kuichafua wala kuishutumu Serikali kwa hatua mbalimbali wanazochukua kwa ajili ya kujikinga na maradhi ya Covid-19. Lakini hapa serikali ilipofikia naona imeamua kwa makusudi kuua wananchi kwa maamuzi ya kukurupuka hasa kwa kuwahamisha watu waliojitenga mahotelini na...
Hawastaafu kwa maana ya kutokuacha umbea. Wakistaafu wanaanza kupelelezana wastaafu wao kwa wao hadi wanawapeleleza wanajumuia wenzao makanisani ndo shida iliyopo ya TiSs full umbea midomo ka filimbi.
Hoja yako ina mashiko saana lakini.
Hakuna Mhandisi Msanifu. Ni Msanifu wa Majengo=Architect na Mhandisi=Engineer. Hiyo lugha uliyoitumia ni kama Diwani wa Kata ambaye hajui lolote ingawa yupo kwa kutua maamuzi ya halmashauri.
Baadhi ya Wasafiri waliofika Uwanja wa Ndege wa Dar na kutakiwa kujiweka Karantini kwa gharama zao wakilalamika kuwa wametakiwa kukaa hoteli zenye gharama
Wasafiri hao wameomba msaada kwa Mamlaka hususan Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kwani wametakiwa kukaa katika hoteli za Southern Sun, Rungwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.