Recent content by keytte

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye Usaili NHIF

    Mwenye Yale majina yaliyotoka mwanzo msaada please... Mdogo angu amesahau namba
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

    Nicheck 0689415975
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ubuyu wa Zanzibar

    Ubuyu wa Zanzibar unapatikana Tsh 1000 kwa packet. Delivery fee 3000 kwa dar. Karibuni
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

    0784293334... Unaweza kuwasiliana na huyu kaka yupo vizuri sana kwa hizo consultation Kampuni yake inaitwa AFIC consultation
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Consultant kwa ajili ya biashara zangu tatu

    0784293334... Unaweza kuwasiliana na huyu kaka yupo vizuri sana kwa hizo consultation
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

    umbo namba 8... Nyambiz wa dully
  7. K

    JamiiForums Tanzania ubuyu wa Zanzibar unapatikana

    Ni Wa babu issa
  8. K

    JamiiForums Tanzania ubuyu wa Zanzibar unapatikana

    Ubuyu Wa Zanzibar unapatikana, Tsh1000 kwa packet, delivery fee in 3000 kwa walio dar es salaam, tupigie 0689415975. karibuni sana
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ubuyu Wa zanzibar unapatikana

    Hii ni bei ya jumla. Asante na karibu sana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ubuyu Wa zanzibar unapatikana

    Tunapatikana kijitonyama Mtaa Wa bukoba. Kwa mama mulo. Karibu sana
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ubuyu Wa zanzibar unapatikana

    Kwa wale wapenzi Wa Ubuyu Wa Zanzibar wenye utamu Wa kipeee unapatikana kwa shilingi 1000 tu kwa paketi. Ukihitaji kuletewa kwa wale ambao wapo dar... delivery cost/gharama ya kuletewa ni Tshs 3000. Mikoani pia tunatuma gharama ya kusafirishia italipwa na mteja . Kwa mawasiliano tupigie...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ubuyu wa Zanzibar unapatikana

    asanteni sana kwa ushauri wenu wanajamiii forum. nashukuru sana. ubuyu unaliwa na watu Wa Jinsia zote.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ubuyu wa Zanzibar unapatikana

    Habari wanajamii, Nauza ubuyu Wa Zanzibar, 1000 kwa packet Moja. Nipo Dar es salaam. Kwa mawasiliano piga 0685091891. Tupo tayari kukusikiliza na kukuhudumia mteja wetu. Karibuni sana
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wahindi na kampuni zao

    Aje wandugu? Eti ni kwanini katika mahojiano ya kazi na wahindi wanauliza maswali ya familia yako. Mfano baba na mama yako wanafanya kazi gani? Kwenu mpo wangapi?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Umuhim wa referee

    Kabla haujaajiriwa referee huwa anapigiwa simu na kuulizwa juu yako bila ww kujua ili anayekuajiri apate opinion za referee wako kuhusu ww. Mm nmeshuhudia m2 aliyeandikwa referee akipigiwa simu kuulizwa kuhusu huyo anayetarajia kuajiriwa.
Back
Top Bottom