Ninahitaji Consultant kwa ajili ya biashara zangu tatu

Tougher

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
245
65
Ninahitaji mtu au kampuni inayoweza kunifanyia registration ya biashara zangu 3 (BRELA tayari nimemaliza nahitaji leseni),

1. Licensing ya Insurance Agency/Broker
2. Licensing ya Micro finance Company.
3. Mobile money Agency business (for all major Telecom coys i.e. TigoPEsa, Mpesa, Airtel Money)

Yeyote anayefanya shughuli hizi anipatie information zifuatazo (PM)
1. Uzoefu wake
2. Gharama zake
3. Muda atakaotumia kukamilisha zoezi hili
4. Anapatikana wapi na mawasiliano yake kwa ujumla
 
Sina uzoefu.

Ila naweza kukufanyia kazi mkuu kama ukihitaji. Niko likizo ya week tatu, nina mda free, if you wish tupatane. Kwasasa niko Dodoma
 
Wasiliana na huyu MTU Mkuu Consultant mzuri sana mi ndio nae mtumia katika biashara yangu 0714-074040
 
Mimi naweza kukufanyia component ya kutengeneza business plans kwa ajili ya hizo projects. Tuwasiliane kwa namba hii 0772 au 0658 977 330
 
0784293334... Unaweza kuwasiliana na huyu kaka yupo vizuri sana kwa hizo consultation
 
Back
Top Bottom