Recent content by Keynes

  1. Keynes

    NHIF inachangia kuua Huduma za Afya kwa kutolipa madeni ya Hospitali

    We shabiki wa yanga nini?......tulia serikali haifanyi kazi kwenye mitandao. ....malalamiko yako yote ya uongo ni
  2. Keynes

    NHIF inachangia kuua Huduma za Afya kwa kutolipa madeni ya Hospitali

    Ndokeji vepeee......kituo chako kinaitwaje? Maana utetezi wako hapa unaonyesha umebanwa......NHIF nawapenda Coz claims za kufoji hawalipi.
  3. Keynes

    NHIF mnaumiza wanachama wenu

    Wakugoogle unayasema hayo labda kwa sababu hujawahi kupata shida kubwa ya matibabu katika familia yako. Nataka nikuhakikishie kwamba katika utaratibu wa Bima ya Afya ndani ya AFRICA.......NHIF-TANZANIA inaweza kuwa the best compared na mifumo ya Bima iliyopo Nchi nyingine zote. Mtumishi wa...
  4. Keynes

    NHIF mnaumiza wanachama wenu

    Asante sana....You are realy greatthinker. Si unaona kama usingekuwa makini kwa sasa Wifi yetu angekuwa tayari na alama ya kidonda ambacho siyo sahihi. Mi ninachojua serikali na NHIF inajitahidi sana kuhakikisha matibabu sahihi yanapatikana kwa wananchi wake bila kufanya biashara kwenye miili...
  5. Keynes

    NHIF mnaumiza wanachama wenu

    Nilichokieleza hapo kipo kwenye soko na kinapatikana bila shida yoyote baada ya wizara kwa kushirikiana na NHIF kufanya maboresho katika kitita chake cha dawa......Nayazungumza haya maana waandishi waliitwa wakati kuzungumzia huduma za dawa za NHIF . Hivyo hili ni jambo linajulikana na wala...
  6. Keynes

    NHIF mnaumiza wanachama wenu

    Pole sana ndugu yangu. HILI NI LA MKURUGENZI WA WILAYA YA NZEGA ......ILA KWA KUWA NHIF INAFANYA KAZI SAMBAMBA NA SERIKALI NADHANI MKURUGENZI MKUU HILI AMESHALIPOKEA. NA tunamwomba ahakikishe anawasiliana na Mkurugenzi wilaya ya Nzega ili watumishi wa Hospitali ya Nzega wanaosababisha...
  7. Keynes

    NHIF mnaumiza wanachama wenu

    Pole sana ndugu yangu. Sasa hilo siyo la NHIF ila ni uzembe wa hospitali husika .....NHIF huingia mikataba na watoa huduma ili waweze kuwahudumia wanachama wake na baada ya huduma NHIF humlipa mtoa huduma kulingana na huduma iliyotolewa. Sasa wapo watoa huduma ambao wanafanya mambo ambayo...
  8. Keynes

    NHIF mnaumiza wanachama wenu

    Mzalendo mwenzangu....kwa nini uwaze Agakhan ambayo ni Zonal level Usiwaze Muhimbili ambayo ni National level? Leo hii ukienda huko unakowaza wakikushindwa utahamishiwa Muhimbili ambako ukiwa na NHIF Kifurushi unafika bila tatizo lolote. MI NADHANI TUACHE KUWA MADALALI......
  9. Keynes

    NHIF mnaumiza wanachama wenu

    Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya hua unatoa matibabu kwa kufuata utaratibu wa serikali na kuhakikisha kwamba kinachotolewa kwa wananchi kama tiba kimefanyiwa utafiti wa kutosha na kwamba hakina maadhara mengine zaidi ya malengo ya Tiba. Hivyo dawa za Hypertension zipo kwenye kitita cha NHIF na...
  10. Keynes

    NHIF mnaumiza wanachama wenu

    Kwa upeo wangu mdogo Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya unatoa huduma dawa zote za msingi kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla, hakuna ukweli wowote wa kuondolewa kwa baadhi ya dawa katika orodha, dawa aina ya intravenous iron sucrose(Iron sucrose Injection) ipo katika orodha ya dawa za NHIF...
Back
Top Bottom