NHIF inachangia kuua Huduma za Afya kwa kutolipa madeni ya Hospitali

We shabiki wa yanga nini?......tulia serikali haifanyi kazi kwenye mitandao. ....malalamiko yako yote ya uongo
Serikali itoe tamka kwenye hili swala ni aibu kuwa na mfuko wenye matatizo makubwa namna hii wao viongozi wako kimya
ni
 
Me nadhani kama sio serikali kuzipa kiburi haya mashirika ya bima ya afya hela zingekuwa zinatoka na taasisi zingeweza kugomea kutoa huduma kwa watu wenye bima hzo labda wangeshtuka. Sema sasa wanakula mteremko na hukuna wa kuongea.
 
ukweli bila kufanya mapinduzi zaidi kwenye huu mfuko wa bima Hasa hawa watendaji wake bado tutapata shida huko mbele juu ya afya itarudi kama zamani kwa maana madeni yamekuwa kero hospitali zinashida sana ,
 
We shabiki wa yanga nini?......tulia serikali haifanyi kazi kwenye mitandao. ....malalamiko yako yote ya uongo

ni
Kapime mkojo na kisukali mimi nishabikie yangu harafu wewe MD graduate unaendaje kukagua superspeciality procedure aliyoiandika harafu unakata unasema hii haipo kwenye bima huu ni utapeli baadala ya kuajili watalaamu wenye uwezo wa kujua hii ni procedure gani mnawekwa wanafunzi ,hii ni bodi ya ajabu sijawahi sikia duniani
 
Shirika letu la Bima (NHIF) limechangia kuua Huduma za Afya katika kulipa Madai ya Hospitali zetu kwa kuchelewesha kulipa kwa wakati, ambapo hospitali zote nchini zimekuwa zikilamika kuchelewesha malipo hayo ili ziweze kununua dawa,vifaa tiba na kulipa uendeshaji wa hospitali

NHIF imekuwa na tabia ya kukopesha hospitali kwa mda wa miezi mitano(5) kitu kinachopelekea hizi hospitali kuwambia wagonjwa kujinunulia vifaa na dawa ili waweze kutibiwa hali hii imekuwa kero kubwa sana kwa wananchi, na kwa kiwango cha wananch wanaotumia Bima ni zaidi ya 70 %. Na Taifa linakoelekea watu wengi watajiunga na Bima, Hili shirika lispokuwa na Mipango mikakati linaenda kuua Sekta ya afya

Ushauri
- Kuwepo na sheria ya kulipa claim za tasisi na Hospitali kulipwa mapema not more than 2 month
-Uongozi uliopo ufumuliwe ni kero
  • Makato ya ovyo yaangawe upya
  • kuwepo na specialist Mabingwa wenye kukagua ujazaji wa formu za NHIF siyo MD
- Kuwepo na Mfumo wa moja kutoka hospitali mpaka kwenya kitengo
Hilo kwenye ukaguzi wa form nakubaliana nalo. Tena wawe wanaotibu, sio waliotoka NHIF na kusomea ubingwa na kisha kurudi kazini na kukata tu. Vijana wengi wamemaliza AMO na MD wameingia NHIF hawaja practice, wanakata tu. Hawajui lolote la zamani wala jipya.
 
Na Ukishalipia Bima, unakaa miezi 3 ndio uanze kupata huduma. Hii ni tabia mbaya.

Benki ukifungua akaunti, unapata kadi hapo hapo

Mwendazake alichota pesa nyingi kwenye hii mifuko ...PSSF, NSSF, NHIF

jiwe aliparalyse hii nchi
 
Hii ni kweli Hospital zinawapiga chenga wanaolipa Kwa NHIF Kwa sabubu Serikali hailipi pesa. Mmekuwa warushi mnataka free service
 
Hii ni kweli Hospital zinawapiga chenga wanaolipa Kwa NHIF Kwa sabubu Serikali hailipi pesa Mmekuwa warushi mnataka free service Watumishi wenu watibiwe Bure kwenye Hospital binafsi hii si sawa
Lipeni pesa Kwa wakati Watumishi wananyanyapaliwa sana
 
Bodi hii ni ovyo kabisa sijapata kuona, imekuwa haina msaada zaidi ya kujilipa wenyewe
Nenda katembelee hospitali mpaka unatamani hivi huu mfuko unasaidiaje hizi hospitali, Mteja anapata huduma wao wanakuja kukagua form na kutofauta makosa madogo madogo na kukata yaani ni bora waunde bodi mpya yenye mkakati wa kusaidia hii tasisi wateja wao na hosipitali zinazotoa huduama
Wewe mpaka inafika NHIF inadaiwa bil 10 haijalipa na taasisi moja sijui wanawaza nini juu uendeshaji wa taasissi hiyo
Naona unalaumu BIMA tuuu!! je umeshaona ufujaji wanao fanya Mahospitalini huko??? Maduka ya Madawa??? utagundua BIMA wako sahihi na utawaonea hururma kwa kazi wanayo fanya!!...mie nawashauri Bima kwa roho safi kuwa....

waajili Madaktari na Nurses kutoka hukohuko kwenye Mahospitali hayo watagundua mengi mnoo!! wao wachomoe mmoja mmoja tu! yaani ni hivi hawa wana Number za wateja wao!! kwa udi na uvumba wanazitafutaga wao!

hata wale wateja ambao hawajawahi kutibiwa Hospitalini! haumwi lolote na hawaja wahi kuumwa ila wana kadi za Bima wanakatwa! na wengine Maskini wa Mungu wamelazimishwa tu!

wamejaziwa Bill!.....ukienda nao hao wateja hapo Mahospitalini wala hata hawawajui kabisaaa!...haiwezekani weye Daktari usijue mgonjwa wako mwenye ugonjwa chronic hata kwa sura tu! kwa kuwa hawa unao kila siku na Mwezi!

kuna wateja ambao hawajawahi kuumwa kabisaaa!! lkn utakuta amejaziwa Bill ya Milioni saba! eti alilazwa TMJ Hospital Tena wana komaaa kabisaaa!! uzuri wateja wengine tunawajua ni wazee wa kilaji sana tunakuwa nao!! ukimuuliza bana weee ulilazwa lini??

Anang'aka wee!! mie Afya yangu Bomba tu!! na ni kweli si unamuona kila siku??? tatizo liliopo ni kuwa huko Mahospitalini hawana hata akili za kufoji hizo forms hasa hasa Hospital za Marie stop'' wana foji kijinga sana!!

na hizi kazi za kufoji Bills za wagonjwa wa Bima zinafanywaga na vile vi -nurse vilaza!! vya bei rahisi one year Course! Madaktari ni wagumu mara nyingi wanakuwaga wabishi kufoji! ...hta ukimuachisha kazi ni poa tu!

Kampuni ya Bima ya AAR iko vizuri wao wailiwapa onyo Marie stop na kutishia kujiondoa km wataendelea na mtindo wao huo wa kufoji hovyo!... hapo wakajirekebisha, tatizo liko kwa sirikali ya bima maweee!!

Hawa jamaa wanalala sana!! waende huko mahospitalini watagundua mengi!! Mifuko ya Afya inadhoofishwa sana!! na baadhi ya Hospitali!! wakiongozwa na shirika la Marie stop Mwenge!! na Dsm yote kwa ujumla wake!! Kamunyonge kulee! na ileee ya pale Arusha kando kando njiani hivi!!

BIMA ya AFYA inadaiwa hela nyingi kuliko inavyopokea sasa hii kweli haiwezekani! itajiendesha vipi?? BIMA mnikodi mie nije niwafanyie kazi kwa kuweka mifumo sawa miezi miwili tu!! mtaona mabadiriko! na

fumua mfumo wa chini huku wote na usuka upyaaaa!,,,Jiwe hakupewa miongozo mizuri na wahusika msimulaumu! hili namtetea si mnajua mie ni anti Jiwe!...BIMA ya afya Taifa bado ni wachanga sana msiwalaumu kwa kutolipa haraka .

hao Bima wamekosa Well learned strategic Health insurence officers wa level ya juu! badala yake sasa wanafanya kazi kienyeji sana na cheap nurses! lazima wapigwe kwa udhaifu huu!! shirika mtaliua faster! Dr Mood! Unalala sana mzee! Unaona sasa!
 
Hata ww mungu atakuchukua
atamchukua akiwa ameshiba umri!..lkn siyo katikati ya utamu eti km jiwe una chukuliwa hovyo mweee!! jua Mungu siyo katili!..... akikupa amekupa...alisemaga ivi '''fadhila zake ni za Milele'''!! kizazi cha nyoka hakijawahi kuijua kweli ya Mungu haaaata!!
 
Back
Top Bottom