Ni ijumaa mida ya saa 7 usiku, tangu nitoke ofisini, unajua tena mwisho wa juma nilikua na ratiba ya kuonana na rafiki yangu wa muda pale mchikichini,tukawa katika kibaa kimoja cha watu wa hali zetu ambapo bia za buku jero zinapatikana,ila pembeni kidogo kuna kibanda kina kile kinywaji cha...