Barus hii imeniumiza sana mpaka naona vijana wanateseka mno na wanapata bahat lakini bado haiwafikii walengwa [emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari nimesoma vma barua hii au ujumbe huu polen san vijana kwa kuumia kwa kazo ngumu za kujenga taifa na kuwa wazalendo wa nchi yetu na tumaini rais aliwapa pongezi na kuwatakia ajira ili muwez kupambania nchi yetu lakini naumia sana kuona watu 305 wote kutolewa katka ajira wakati wote mlikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.