Recent content by Kevoo_keroo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mtandao umekufa rasmi, kazi ni kusafisha matokeo yake.

    Naamini Magufuli atairudisha ccm mahala pake, mitandao imeshakatwa, tumuombee maana changamoto zipo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania anaongozwa kwa kupendwa

    Mungu amlinde rais wetu mpendwa wetu, mtetezi wetu, nia yake njema itashinda
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lubuva: Kufutwa Uchaguzi Zanzibar, hakuhusiani na Tanzania nzima

    UFAFANUZI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI JUU YA KUAHIRISHWA KWA UCHAGUZI WA ZANZIBAR Lubuva: Tume ya taifa ya uchaguzi kuendelea na mchakato wa uchaguzi wa Rais na wabunge wa jamhuri ya muungano na madiwani Tanzania Bara. Tume ya taifa ya uchaguzi inapenda kuutarifu umma wa Tanzania kuwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi: Shinyanga Mjini hali ni mbaya

    Hapa kazi tu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Asante sana Dr. JP. Magufuli

    Kamnyooshe lowassa kwanza
  6. K

    JamiiForums Tanzania CCM kufunga kampeni zake kisasa zaidi

    Hapa kazi tu Kirumba kazi tu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa UKAWA, anguko la CHADEMA. Mapinduzi ya CCM

    Mungu atawalipia
  8. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA wapata mapigo mawili ndani ya masaa 24 kabla ya uchaguzi

    Hahahaha hadi kwenye gazeti ipo hyo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    Ukawa wanaona wivu sana Mwanza kulivyopendeza mda huu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mji wa Dodoma uko katika hali ya utulivu watu wakisubiria uchaguzi kesho

    Kuna majinga yametumwa na wezi wa nchi kusema dodoma haiko shwari
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa UKAWA, anguko la CHADEMA. Mapinduzi ya CCM

    Vurugu majibu yake Kikwete Jana kayatoa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mji wa Dodoma uko katika hali ya utulivu watu wakisubiria uchaguzi kesho

    Wanaotunga propaganda za kukamatwa kura wametumwa na matajiri fulani, itakula kwao
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa UKAWA, anguko la CHADEMA. Mapinduzi ya CCM

    Leo nguvu ya ccm itaonekana duniani
Back
Top Bottom