CCM kufunga kampeni zake kisasa zaidi

CCM kufunga kampeni zake kisasa zaidi

Kusema kweli na tuamini huu ndo ukweli, Ukawa mmeshindwa hata kuandaa mkutano sasa sijui mnataka kusaidiwaje ..mgombea wenu kakimbiwa na watu
 
Naitaji mabadiliko ila baada ya magufuli kumaliza muda wake wa miaka kumi ijayo, hapa kazi tu
 
Tunaing'oa ccm licha ya mikakati yake ya wizi wa shule.
 
Back
Top Bottom